chipaka.com
JF-Expert Member
- Dec 5, 2015
- 2,883
- 1,189
Siyo kweli muacheni JK,apumzike
Anaenda kumuomba apunguze makali.Leo rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na rais mstaafu wa awamu ya nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam.
Huu ni mwendelezo wa JK kwenda ikulu kukutana na Rais toka kustahafu na kukabithi madaraka kwa Magufuli.
Kwa ujinga wako unadhani umemtuka huyo member kumbe umemtuka Kikwete. Kuwa anazalisha wanawake hovyo na kutelekeza. Jinga kabisa.Mkuu nadhani jk alimzalisha mama yako kisha akamtelekeza! Thus y una hasira naye kiasi hicho! Naona ushaanza kujipendekeza kwa magufuli now wakati ulikuwa mfuasi mkubwa wa lile kubwa jinga la kujinyea hadharani!
Kibaha hapo tu!!! Anyway, hata ITV wameonyesha kuwa JK alimtembelea JPJM leo.Jk alikua kibaha leo acha porojo
Jina la huyu jamaa likitajwa lazima nile malimao. Na huu siyo msimu wa malimao naomba msilitaje taje wala kuliandika jina hili...
Naona kaenda kupiga magoti kubembelezaHuyu ana figisu nyingi,Si unakumbuka alisema JP asipoingia ikulu hawezi lala fofofo?
Mkuu inawezekana lile jipu la uda ndio linakaribia kutumbuliwaAnaota tuuuu.... Yaani miaka kumi hajapachoka ikulu,? Kumbe hajitambui ..... kuna kitu anataka kumshawishi Rais wetu! JPM USIDANGANYIKE.... KUMBE KACHOMEKA IKULU!!! MKWERE BHANA... AU PENSION YAKE IMECHELEWA NINI.
Kumbe ndio kamuweka ikulu?sisi tulidhani ni kura za wananchi?Hakuna namna yoyote mtamtenga magufuli na Jk Mtaumia bure tu.Jk ndio kamuweka magu ikulu kwa nguvu na wote mnajua hili
Teeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeeh, watu kweli hamkosagi manenoAnaenda kuulizia gender issue kwenye uteuza wa wakuu wa wilaya