Leo rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na rais mstaafu wa awamu ya nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam.
Huu ni mwendelezo wa JK kwenda ikulu kukutana na Rais toka kustahafu na kukabithi madaraka kwa Magufuli.
Hahaha dhambi yakusaliti nihatari sanaLeo rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na rais mstaafu wa awamu ya nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam.
Huu ni mwendelezo wa JK kwenda ikulu kukutana na Rais toka kustahafu na kukabithi madaraka kwa Magufuli.
JK hatulii kabisa msoga,sijui kuna nini.Nadhani miaka 10 tuu ya utawala tutakua na marais wastaafu wengi sana mitaaniLeo rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na rais mstaafu wa awamu ya nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam.
Huu ni mwendelezo wa JK kwenda ikulu kukutana na Rais toka kustahafu na kukabithi madaraka kwa Magufuli.
Ok weka picha basiMkuu kibaha ni ahera?