Mwenyekiti wa Bunge, Mary Mwanjelwa akataa Hoja ya Mwakyembe

Hii tabia ya kutopenda kukosolewa inabidi tuibadili, unafki unatuponza maana tunasifia ata makosa kisa kujipendekeza na kutetea system (kumb. safari za jah kaya).
Hii kitu ipo ata upinzani,ukimkosoa Lowasa au kiongozi wao mpendwa wanarusha matusi kama wehu. Kunatoto nililizabua lilimwita babake ndorobo kisa ni Ccm nkaja gundua ni ugonjwa wa kuambukizwa kule ukawa
 
Alafu kuna mijitu mingine ya ccm utakuta akisimama mbunge wa upinzani na kuanza kuongea kweli utasikia mheshimiwa taarifa jamani acheni uvyama bungeni acheni watu waongee kweli na mapungufu yawekwe wazi ili tufike tunakotarajia sio kuficha maradhi bunge ndo kila kitu kwa maendeleo ya nchi
 
Mwenyekiti wa bunge Mary Mwanjelwa ameonyesha msimamo thabiti wa kusimamia kiti,Baada ya waziri wa nchi sera na uratibu wa bunge kutaka kushawishi kiti kimchukulie hatua Halima mdee kwa kusema anekiuka kanuni.Hata hivyo Mwenyekiti huyo ameonyesha msimamo juu ya swala hilo,hata pale Mwakiembe na Hamis Kigwagala walipoingilia na kusisitiza adhabu kwa halima.Mwenyekiti huyo alisimamia msimao wake kuwa Halima was right.
Mtifuano huo umeanza baada ya Mdee kumtaja Rais Magufuli alivyotenda akiwa waziri wa ujenzi,Na waziri wa nchi kusema ni kosa kutaja jina la rais bungeni,Mdee alisisitiza ni kosa kumfanya Rais untouchable wakati wanaisimamia serekali.
Tukumbuke na kuelewa kuwa Mh. Rais ana historia ya kiutendaji tangu alipokuwa mwalimu, mkemia mkuu wa Nyanza na waziri kwenye Wizara mbalimbali. Mbona anapopongezwa kwa utendaji uliotukuka Wizara ya Ujenzi hakuna zuio. Kwa kuwa ni binadamu he has his dark side na sio dhsmbi kujadiliwa hasa bungeni. Tusianze kujenga mazingira ya kutukuza viongizi. Rais mstaafu Benjamin Mkapa alipoanza jazi aliviambia vyombo vya habari kuwa hakupenda kuwa kwenye kurasa za mbele za magazeti au radio au TV bila usitahiki. Siku hizi vyombo vya habari vinashindana nani atakuwa kwenye top story kwenye chombo cha habari husika. JPM kwa nini hasafiri nje ya nchi, EL asimama Dakawa. Aina hii ya habari kweli ni moto moto au wamiliiki wa magazeti wanatumia wanatumia majina kama haya kuuza magazeti yao?
T
 
Sasa watu wa ukawa mnatakiwa muwe fair sasa, anaposamiaga msimamo anapokuwaga kama anaegemea upande mwingine muwe mnatoa credit pia.
Ila kiukweli ushabiki ukiwekwa pembeni, Mdee alikuwa anaropoka maana alimuita mbunge mmoja anajipendekeza, na lugha aliyokuwa anaitumia haikuwa sahihi.
 
Jembe Mdee..
Acha awatoe kamasi Ma.ccm, Mwakembe kabakia anabungaa kama yatima Huku akiwa anapewa vidonge vyake vya Mabehewa feki(jizi kabisa huyu jamaa)..
Mwenye kiti waleo safu kabisa, wamezoea kubebwa na kiti cha spika,Lakini wameisoma namba jioni ya leo
 
Tati
Ukawa tokea wagaragazwe kwenye uchaguzi ,hadi Leo wana hangover hawataki kufuata katiba wala sheria za nchi wao ni upumbavu kwa kwenda mbele.


Nyumbu Wa ufipa.com
tatizo ninaloliona ni hii tabia ya kuitana mheshimiwa ndio inawapa kibri kwani wakiitana ndugu inakuwaje
 
Mwenyekiti wa bunge Mary Mwanjelwa ameonyesha msimamo thabiti wa kusimamia kiti,Baada ya waziri wa nchi sera na uratibu wa bunge kutaka kushawishi kiti kimchukulie hatua Halima mdee kwa kusema anekiuka kanuni.Hata hivyo Mwenyekiti huyo ameonyesha msimamo juu ya swala hilo,hata pale Mwakiembe na Hamis Kigwagala walipoingilia na kusisitiza adhabu kwa halima.Mwenyekiti huyo alisimamia msimao wake kuwa Halima was right.
Mtifuano huo umeanza baada ya Mdee kumtaja Rais Magufuli alivyotenda akiwa waziri wa ujenzi,Na waziri wa nchi kusema ni kosa kutaja jina la rais bungeni,Mdee alisisitiza ni kosa kumfanya Rais untouchable wakati wanaisimamia serekali.
Nasema hivi: mtumbua majibu ana kijipu uchungu kimemkaa mahala ambapo yeye kama yeye hawezi kufikia akajitumbua na anaona aibu sana kuomba atumbuliwe japo anajua watumbuaji wa kijipu chake wapo bungeni. Sasa ili kukwepa kutumbuliwa kwa lazima na mbele ya uma ni lazima bunge lisirushwe live bahati mbaya wasimamia show hii wameshaonyesha dalili ya kukata tamaa na msimamo wa kuzima matangazo ya moja kwa moja mkakati uliobaki ni vidagaa kujitoa ufahamu kwa hali na mali kuzuia utumbuaji wa kijipu cha bwana wao. Poleni sana, mtenda utendwa na ukinyoosha kidole kimoja kwa mwenzako jua vitatu vinanyooka kwako
 
huyu dada mwanjelwa alipaswa kuwa naibu spika na sio yule mwanaccm wa kuchongwa aitwaye tulia.....maghufuli anageuzwa mungu mtu. wabunge wa ccm ni shida....
 
Back
Top Bottom