Mwenyekiti UVCCM, Kheri James ametengua Uteuzi wa Kaimu Katibu Idara ya Uhamasishaji, Jokate Mwegelo

Binti atakua amegoma kufuata maelekezo ya mwenyekiti kwa kushindwa kutekeleza kipengele cha kufanya kazi nyingine utakazopangiwa na mwenyekiti, yaani other duties as assigned by the chairman.

Chairman anamtaka binti abakie jioni kwa ajili ya kumsaidia kazi baada ya masaa ya kazi binti anagoma.

Safi snaa chairman. Hata mimi nikiwa boss kisha subordinate wangu hafanyi kazi nazompangia nje ya kazi zake za kawaida tena kwa malipo ya muda wa ziada namtimua.
Umenikumbusha Ufipa!
 
Tangu mwanzo binafsi niliona wamekosea, usajili pia veteran Wema Sepenga ni kosa pia la pili.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom