Mwenyekiti UVCCM, Kheri James ametengua Uteuzi wa Kaimu Katibu Idara ya Uhamasishaji, Jokate Mwegelo

Kunguru Mjanja

JF-Expert Member
Aug 22, 2012
2,044
3,963
Kamati ya Utekelezaji ya Umoja wa Vijana wa CCM iliyokutana kwa dharura mchana huu chini ya Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM Ndg Kheri Denis James imetengua uteuzi wa Kaimu Katibu wa Hamasa na Chipukizi UVCCM Taifa Jokate U. Mwengelo kuanzia leo 25/03/2018.

jokate.jpg
 
Binti atakua amegoma kufuata maelekezo ya mwenyekiti kwa kushindwa kutekeleza kipengele cha kufanya kazi nyingine utakazopangiwa na mwenyekiti, yaani any other duties as assigned by the chairman.

Chairman anamtaka binti abakie jioni kwa ajili ya kumsaidia kazi baada ya masaa ya kazi binti anagoma.

Safi snaa chairman. Hata mimi nikiwa boss kisha subordinate wangu hafanyi kazi nazompangia nje ya kazi zake za kawaida tena kwa malipo ya muda wa ziada namtimua.
 
Binti atakua amegoma kufuata maelekezo ya mwenyekiti kwa kushindwa kutekeleza kipengele cha kufanya kazi nyingine utakazopangiwa na mwenyekiti, yaani other duties as assigned by the chairman.

Chairman anamtaka binti abakie jioni kwa ajili ya kumsaidia kazi baada ya masaa ya kazi binti anagoma.

Safi snaa chairman. Hata mimi nikiwa boss kisha subordinate wangu hafanyi kazi nazompangia nje ya kazi zake za kawaida tena kwa malipo ya muda wa ziada namtimua.
Jokate ni binti mrembo sana alitakiwa ajiweke mbali na siasa afanye biashara zake, angalia akina nacy, k lyn walivyotulia na mambo yao
 
Back
Top Bottom