Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti Chadema ni paka na panya

Duh aisei! Ila kiukweli kauli za Lissu ni kama zinaumbua wenzake hasa Mwenyekiti wake Mbowe, najaribu kuwaza fikra huru. 🙏🙏🙏
Na kiukweli kuhusu hizi kauli zimekuwa zikileta mkanganyiko kweli ndani ya chama mpaka inafikia wakati baadhi ya vikao vikuu vya chama wanamtambuka lissu
 
chadema naliona anguko lao kama la Nccr mageuzi
 

Punguza kuleta habari za kitoto.
 
Hapo wanaviziana ila Lisu atakuwa ameshapata pa kutokea 😂😂👇👇

View: https://www.instagram.com/p/C-7BiFmtpCG/?igsh=bzU1eDB5cTdjZWxi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…