thetallest
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 8,271
- 9,111
- Thread starter
- #41
Mwambieni Lissu afungue jaladaUshahidi kuwa Makonda ni muhalifu upo wazi, hata shambulio la Lisu yeye ndio muhusika. Tatizo hapa nchini vyombo vyenye wajibu wa kudhibitisha uhalifu wake havithubutu.
Unataka watu waende kwenye mahakama zipi, hizi hizi zilizoko na kesi ya kina mdee mwaka wa tatu huu. Ingekuwa Kuna ruhusa ya kushitaki hizi jinai kwenye mahakama za kimataifa kama yalivyo madini, viongozi wengi wa ccm ikiwemo Makonda wangekuwa jela muda mrefu. Kwa hapa nchini mahakama ni sehemu ya kulinda uovu wa viongozi.