Mwenye tuhuma za kweli za jinai kuhusu Paul Makonda amfungulie kesi Mahakamani. Hizi porojo na kulishana upepo itoshe sasa

Wote wanaoamini Paul Makonda ni muhalifu na ushahidi wanao ni muda sasa wa kumshughulikia,japo hakuwa na mamlaka yoyote ndani ya miaka mitatu walishindwa.

Wasipoenda mahakamani ni kiashiria tosha cha chuki binafsi dhidi yake na wapuuzwe
Uliangali movie inaitwa "Oparesheni Shilawandu Clouds" Starring alikuwa Bashite??
 
Wote wanaoamini Paul Makonda ni muhalifu na ushahidi wanao ni muda sasa wa kumshughulikia,japo hakuwa na mamlaka yoyote ndani ya miaka mitatu walishindwa.

Wasipoenda mahakamani ni kiashiria tosha cha chuki binafsi dhidi yake na wapuuzwe
Ushahidi kuwa Makonda ni muhalifu upo wazi, hata shambulio la Lisu yeye ndio muhusika. Tatizo hapa nchini vyombo vyenye wajibu wa kudhibitisha uhalifu wake havithubutu.

Unataka watu waende kwenye mahakama zipi, hizi hizi zilizoko na kesi ya kina mdee mwaka wa tatu huu. Ingekuwa Kuna ruhusa ya kushitaki hizi jinai kwenye mahakama za kimataifa kama yalivyo madini, viongozi wengi wa ccm ikiwemo Makonda wangekuwa jela muda mrefu. Kwa hapa nchini mahakama ni sehemu ya kulinda uovu wa viongozi.
 
Wote wanaoamini Paul Makonda ni muhalifu na ushahidi wanao ni muda sasa wa kumshughulikia, japo hakuwa na mamlaka yoyote ndani ya miaka mitatu walishindwa.

Wasipoenda mahakamani ni kiashiria tosha cha chuki binafsi dhidi yake na wapuuzwe.
Kumshtaki Makonda ni kumshtaki mteuzi na mlinzi wake.

Tupate Katiba kwanza kisha uuone mziki wake
 
Wote wanaoamini Paul Makonda ni muhalifu na ushahidi wanao ni muda sasa wa kumshughulikia, japo hakuwa na mamlaka yoyote ndani ya miaka mitatu walishindwa.

Wasipoenda mahakamani ni kiashiria tosha cha chuki binafsi dhidi yake na wapuuzwe.
Kweli kabisa.
 
Fair enough!
 
Badilisheni sheria ili yeyote aweze kufungua kesi za jinai. Mimi nitaanza kumfungulia John Pombe Magufuli.
 
Wote wanaoamini Paul Makonda ni muhalifu na ushahidi wanao ni muda sasa wa kumshughulikia, japo hakuwa na mamlaka yoyote ndani ya miaka mitatu walishindwa.

Wasipoenda mahakamani ni kiashiria tosha cha chuki binafsi dhidi yake na wapuuzwe.
Wewe kumbe ni mjinga wa kiasi hiki? Hukustahili hata kuwepo JF.

Yaani umekuwa mjinga wa kutojua hata zile sheria na kanuni basic kabisa.

Haya, ngoja nikupe darasa fupi:

1) Kwa sheria za Tanzania, aliyepewa uwezo wa kisheria kufungua kesi ya jinai dhidi ya mtu yeyote au taasisi yoyote ni DPP tu.

2) Hata kibaka akiingia nyumbani kwako, ukamkamata anaiba, huna uwezo wa kumfungulia kesi ya jinai. Unachofanya ni kufungua jalada polisi. Polisi watapeleleza, wakijiridhisha watamfungulia kesi huyo mwizi wako, au wakiamua wanaweza kwenda kumtisha mwizi wako ili awape chochote, halafu wanatulia tu, na kutoa sababu mbalimbali. Wakiamua kumshtaki huyo mwizi wako, wewe utaenda mahakamani kama shahidi tu.

3) Tuhuma dhidi ya makonda ni za jinai, hivyo ni polisi pekee ndio wanaoweza kumfungulia kesi, na wengine wote mwisho wao ni kuwa mashahidi. Polisi wetu kwa kuwa ni kitengo tu cha Chama Cha Maovu, hawawezi kufanya lolote dhidi ya Makonda kama wakuu wa Chama Cha Maovu hawatakuwa wamewapa maelekezo ya kumshtaki.
 
Kuna mada ya dissertation hapa kwa mnaosoma. Case study ya jinsi uwepo wa mfumo wa haki kupitia vyombo kama mahakama unavyowezesha (enabler) wa uminywaji haki.

Logic kama ya mleta mada si mpya, tumezisikia pia kwa akina Manji, Chenge na wengine wa kaliba zao.
 
Back
Top Bottom