Mwenye Taarifa ya ajira za walimu wa Arts

Hivi naomba kuuliza mpaka sasa serikali kupitia TAMISEMI na utumishi wametoa kauli gani juu ya mustakabali wa ajira za walimu wa sanaa, manake naona wanataja taja tu walimu wa sayansi sasa hili kundi kubwa la walimu wa arts linapelekwa wapi?
Ajira za sanaa hakuna!
kalime matikiti huko

In polepole voice
 
Back
Top Bottom