Mwenye picha ya msanii Pig Black/P1 black

Pale morroco hotel.ukivuka barabara mkono wa kulia kama unaelekea kinondoni kuna mafrem kibao.sasa ukiambaa ambaa na njia hiyo yanapoishia mafrem tu kuna mtaa.fata huo.nyumba ya kwanza ina fens ya mabati yamechoka ndo humo.nje pamechoka ila humo ndani ni balaa.mke wake ni mweupe pee anaitwa Tamrina.huwez potea
Ok,yaani kama naelekea kule chini bondeni hotel si ndio
 
Nisikilize ni moja ya nzuri sana maana alihusisha hisia za hali ya juu kwenye huu
wimbo
 
Pig alikua anabeba sembe na alikua kwenye payrole ya shkuba.anashinda kinondoni maskani kwao na anakaa pale magomeni kanisani mkono wa kulia kutoka kituo cha mwendokasi.ulizia pig utampata laiv
la kubeba unga mimi nililijua kitambo sana.....maana yule dogo licha ya kwamba ushindani wa mziki huu wa sasa ulishamshinda,movement zake,
muonekano wake na maisha yake inaonekana ni kijana aliye vizuri kimaisha kushinda hata hawa wanamuziki wanavuma maredioni na kwenye tv.

mwingine ambaye yupo vizuri kimaisha japo havumi kimziki ni Mb dog.huyu naye yupo kwenye payroll ya wauza ngada.Mb dog na route za kwa mzee madiba ni kama kariakoo to mbagara.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom