Jaribu hikiWakuu nahisi Nina shida psychologically...
Nashindwa kufanya Mambo mengi kwa sababu ya kuwaza hasi kila Mara, nahisi kama kitabu kitanisaidia zaidi kupambana na hali hii....
Kama Kuna mtu anaweza kunisaidia nitashukuru sana
Jaribu hiki
View attachment 3183077
Siku ukinielewa utanishukuruUnazingua mkuu
Kwa ufahamu wangu ,inatakiwa ukae chini uainishe mambo gani yanayokufanya usiwe sawa kisaikolojia(Tiba ya kwanza ya kutibu tatizo ni kulijua) ..Baada ya hapo Unatakiwa pia ujifahamu ni mambo gani yanakuweka au yanakupa furaha mfano Kusoma vitabu,kusikiliza motivation speech,kutembea maeneo mapyah n.kWakuu nahisi Nina shida psychologically...
Nashindwa kufanya Mambo mengi kwa sababu ya kuwaza hasi kila Mara, nahisi kama kitabu kitanisaidia zaidi kupambana na hali hii....
Kama Kuna mtu anaweza kunisaidia nitashukuru sana