nyumbamungu
JF-Expert Member
- Mar 3, 2017
- 1,032
- 893
Asante kwa swali.Ambaye ana elimu ya hizi stika za elekitroniki za TRA naomba atueleweshe.
Mfano bidhaa ilikuwa inauzwa kiasi cha Tsh 100 ikawekwa stika bado inauzwa bei ileile tzs 100 hapo naongelea U-fresh ambazo ni barafu zinazozalishwa na Wachina.
Hapohapo maji yalikuwa yanauzwa kiasi cha Tsh 500 ikawekwa stika bei ikapanda hadi Tsh 600.
Swali la nyongeza mbona ninaziona stika kwenye bidhaa zinazozalishwa Huaren Company Limited ambayo ni kampuni ya Wachina lakini kwenye bidhaa zinazozalishwa na Bakhresa Food Products Ltd ambayo ni Ballcone inayouzwa Tsh 2000 stika sijaiona?
Nimeambatanisha picha:
Jamaa anauliza mbona bidhaa za Bakhressa hazina?Asante kwa swali.
Stika hizi za kieletroniki zinaashiria kuwa bidhaa hiyo imelipiwa au inalipa kodi ya ushuru wa bidhaa. Kazi kubwa ya stika hizi ni kutambua kama kodi hiyo imelipwa au italipwa.Na siyo kwa bidhaa zinazozalishwa ndani tu hata zinazotoka nje ya nchi. Mfano sigara au pombe. Ukitaka kutambua kama bidhaa hiyo ipo salama unaweza pakua app kwenye simu janja yako kwa kuchagua hakiki stempu ambapo utatumia kumulika stika hiyo na kupata taarifa kama kinywaji unachotumia ni chenyewe siyo cha kugushi (fake)
na jamaa anajibu "kutambua fake au si fake?Jamaa anauliza mbona bidhaa za Bakhressa hazina?
Umekwepa swaliAsante kwa swali.
Stika hizi za kieletroniki zinaashiria kuwa bidhaa hiyo imelipiwa au inalipa kodi ya ushuru wa bidhaa. Kazi kubwa ya stika hizi ni kutambua kama kodi hiyo imelipwa au italipwa.Na siyo kwa bidhaa zinazozalishwa ndani tu hata zinazotoka nje ya nchi. Mfano sigara au pombe. Ukitaka kutambua kama bidhaa hiyo ipo salama unaweza pakua app kwenye simu janja yako kwa kuchagua hakiki stempu ambapo utatumia kumulika stika hiyo na kupata taarifa kama kinywaji unachotumia ni chenyewe siyo cha kugushi (fake)
Kweli Bongo nyoso 😂 unaulizwa swali lingine mnajibu swali ambalo hamjaulizwa.Asante kwa swali.
Stika hizi za kieletroniki zinaashiria kuwa bidhaa hiyo imelipiwa au inalipa kodi ya ushuru wa bidhaa. Kazi kubwa ya stika hizi ni kutambua kama kodi hiyo imelipwa au italipwa.Na siyo kwa bidhaa zinazozalishwa ndani tu hata zinazotoka nje ya nchi. Mfano sigara au pombe. Ukitaka kutambua kama bidhaa hiyo ipo salama unaweza pakua app kwenye simu janja yako kwa kuchagua hakiki stempu ambapo utatumia kumulika stika hiyo na kupata taarifa kama kinywaji unachotumia ni chenyewe siyo cha kugushi (fake)
Admin kalala, tumsubirie kesho.Umekwepa swali
Why not Bhahresa?
Akijibu nitagJamaa anauliza mbona bidhaa za Bakhressa hazina?
Bongo magumashi KMMKKweli Bongo nyoso 😂 unaulizwa swali lingine mnajibu swali ambalo hamjaulizwa.
Bongo kila kitu ni usanii tuu KMMK
Wewe ni ngumbaru?Asante kwa swali.
Stika hizi za kieletroniki zinaashiria kuwa bidhaa hiyo imelipiwa au inalipa kodi ya ushuru wa bidhaa. Kazi kubwa ya stika hizi ni kutambua kama kodi hiyo imelipwa au italipwa.Na siyo kwa bidhaa zinazozalishwa ndani tu hata zinazotoka nje ya nchi. Mfano sigara au pombe. Ukitaka kutambua kama bidhaa hiyo ipo salama unaweza pakua app kwenye simu janja yako kwa kuchagua hakiki stempu ambapo utatumia kumulika stika hiyo na kupata taarifa kama kinywaji unachotumia ni chenyewe siyo cha kugushi (fake)
Mkuu kwenye swali la mtoa mada kuhusu hizo bidhaa ambazo hazina sticker imekaaje? Ni kosa au sio kila bidhaa lazima inatakiwa kuwa na hiyo nembo? Maana kuna bidhaa nyingi tuu mtaani hazina hiyo nembo!Asante kwa swali.
Stika hizi za kieletroniki zinaashiria kuwa bidhaa hiyo imelipiwa au inalipa kodi ya ushuru wa bidhaa. Kazi kubwa ya stika hizi ni kutambua kama kodi hiyo imelipwa au italipwa.Na siyo kwa bidhaa zinazozalishwa ndani tu hata zinazotoka nje ya nchi. Mfano sigara au pombe. Ukitaka kutambua kama bidhaa hiyo ipo salama unaweza pakua app kwenye simu janja yako kwa kuchagua hakiki stempu ambapo utatumia kumulika stika hiyo na kupata taarifa kama kinywaji unachotumia ni chenyewe siyo cha kugushi (fake)
Labda kuna zingine haziwekwi hiyo sticker ila wana namna za kuzitambua labda atatujuza ngoja atwambie…atajibu tuu tuwe na subra !Wewe ni ngumbaru?
Ina maana hujaona swali la mleta mada au dharau. Hiki ulichojibu na alichouliza unaona vinaendana?
Haya sawa ,turudi kwenye swali la mleta mada tupe majibu kwann kwa Bakhresa hakuna hizo stika ?Asante kwa swali.
Stika hizi za kieletroniki zinaashiria kuwa bidhaa hiyo imelipiwa au inalipa kodi ya ushuru wa bidhaa. Kazi kubwa ya stika hizi ni kutambua kama kodi hiyo imelipwa au italipwa.Na siyo kwa bidhaa zinazozalishwa ndani tu hata zinazotoka nje ya nchi. Mfano sigara au pombe. Ukitaka kutambua kama bidhaa hiyo ipo salama unaweza pakua app kwenye simu janja yako kwa kuchagua hakiki stempu ambapo utatumia kumulika stika hiyo na kupata taarifa kama kinywaji unachotumia ni chenyewe siyo cha kugushi (fake)
Wewe Admin nina uhakika uliingizwa kimagumashi hapo kazini kwako.Asante kwa swali.
Stika hizi za kieletroniki zinaashiria kuwa bidhaa hiyo imelipiwa au inalipa kodi ya ushuru wa bidhaa. Kazi kubwa ya stika hizi ni kutambua kama kodi hiyo imelipwa au italipwa.Na siyo kwa bidhaa zinazozalishwa ndani tu hata zinazotoka nje ya nchi. Mfano sigara au pombe. Ukitaka kutambua kama bidhaa hiyo ipo salama unaweza pakua app kwenye simu janja yako kwa kuchagua hakiki stempu ambapo utatumia kumulika stika hiyo na kupata taarifa kama kinywaji unachotumia ni chenyewe siyo cha kugushi (fake)
Mkuu TRA tunaomba muongee na Moderator Invisible waweke stick pale juu maana kuna maswali mengi sana watu wanayo ili wewe uwe unaingia tuu na kutolea ufafanunuzi!Asante kwa swali.