nyumbamungu
JF-Expert Member
- Mar 3, 2017
- 1,032
- 893
Ambaye ana elimu ya hizi stika za elekitroniki za TRA naomba atueleweshe.
Mfano bidhaa ilikuwa inauzwa kiasi cha Tsh 100 ikawekwa stika bado inauzwa bei ileile tzs 100 hapo naongelea U-fresh ambazo ni barafu zinazozalishwa na Wachina.
Hapohapo maji yalikuwa yanauzwa kiasi cha Tsh 500 ikawekwa stika bei ikapanda hadi Tsh 600.
Swali la nyongeza mbona ninaziona stika kwenye bidhaa zinazozalishwa Huaren Company Limited ambayo ni kampuni ya Wachina lakini kwenye bidhaa zinazozalishwa na Bakhresa Food Products Ltd ambayo ni Ballcone inayouzwa Tsh 2000 stika sijaiona?
Nimeambatanisha picha: