hii CV mbona imekuwa kigugumizi? msijifanye majuha wakati muna akili timamu.
eddy;
Waliomchagua tangu Kata yake mpaka wajumbe wa huo mkutano wa uchaguzi, hadi kamati kuu ya chama chake, unawaona wao hawakuangalia CV yake weye ndo mtaalam?? Haya weye usiyejuha utaijua CV yake tu. Jambo muhimu hapa ni kwamba, hata angekuwa ngumbaru, keshakuwa Mstahiki Meya wa Jijiiiiiiii