mkereketwa89
JF-Expert Member
- Aug 27, 2013
- 277
- 145
kwahyo alieleta huu uzi ni ukawa nayy?Kwa hiyo mahakama ilidanganywa.? Kama ilidanganywa, una njia yoyote ya kuisaidia itengue huo uongo.? Kuweni wavumilivu, visabengo wenu Lisu na Boniface Jacob si tayari wameshaenda kwenye sheria.?
UKAWA hamnazo kweli, yaani mnadhani kuja kulalamika humu ndo mnapata haki zenu za kisheria. Mbona mwenyekiti wenu DJ darasa la saba lakini mnamwabudu kila analoamua mnafuata tuu kama kondoo wa kafala.
UKAWA wakubwa nyie, kidogo tu Makonda, kidogo tu Makonda. Si mwende akawape mimba ili muwe na kumbukumbu nae nzuri.