Wakuu,
Hivi sheria zinasemaje kuhusu hizi plate number za kwenye magari?
Ni kwamba mimi naweza tu kuamka asubuhi nikaweka jina lolote as plate number au kuna muongozo ambao inabidi ufuatwe?
Vipi kwenye plate number nikaweka maneno yanayozua taharuki au nikaweka jina la mgombea Urais hasa kwenye kipindi cha Uchaguzi, inaruhusiwa?
Hivi karibuni kumekuwa na utitiri wa magari ambayo ya plate number ya SSH. Kuweka majina kama hayo kwenye plate number sio kampeni?
======================================
Katibu wa siasa, Mafunzo na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Rombo Themistocles Massae ametia Fora kwa kuonekana na Gari yenye Plate No, SSH 2530, ikiwa inamlenga Rais Samia