Mwendesha mashtaka wa kimataifa awasili Ikulu, afanya mazungumzo na Makamu wa Rais

Kwanza hii mahakama haiko fair kwanini marekani siyo mwanachama? Tanzania tujitoe tu.
 
Kumbe kile kimya Tayari Cuf wamekwenda kushitaki Serikali ya Muungano kuhusu Muungano huu haramu? Lakini Kwanini wasiishita pia Umoja wa Mataifa kuupokea Muungano huu uliokua haukua Na uhalali wa kudumu?
 
Maelezo hayajajitosheleza, Mahakamani ya kimataifa ipi? Maana mahakama za kimataifa ziko kadhaa, zenye kazi tofauti..
Serge Brammertz
Baron Serge Brammertz is a Belgian jurist, and
the chief prosecutor for the International
 
Teeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeeh, sipati picha shehein na miwani yake pale The Hague
Tuache kujidanganya... Hawa watu wanakula alawansi tu.

Ruto na uhuru walikua na stronger case, zimeishia wapi?

Kwangu mimi icc ni madalali wa watawala tu na wanatumiwa na big countries kututisha

George bush ahohld have been the first person kufungwa na hawa watu

I expect nothing from them
 
Huo ni msimamo wako mzee wakusinzia mjengoni
 
Kama kunavwatu wanatafutwa tenda ya kuwakamata wapewe YONO au MAJEMBE auction mart watafanya kazi mara moha
 
Bavicha mna tabu sana, akili zenu zipo negative wakati wote, hebu nendeni kahojini kwanza ufipa Mbowe anajilipa kodi kiasi gani sio mnaleta upuuzi usio na kichwa wala miguu.
 
hebu jifunzeni kutoa Baraka kwa nchi! kaja kutafuta Mke wa kuoa
 
Back
Top Bottom