Mwendesha mashtaka mkuu wa Argentina ameomba kukamatwa kwa kiongozi wa Iran Khamenei kufuatia shambulio la bomu la 1994 nchini Argentina

Eli Cohen

JF-Expert Member
Jun 19, 2023
5,557
16,979
Mwendesha mashtaka Sebastián Basso wa Argentina ameomba hati za kimataifa za kukamatwa kwa Kiongozi Mkuu wa Iran, Ali Khamenei, na wengineo kuhusiana na shambulio la bomu la AMIA mwaka 1994, ambalo liliua watu 85.

Basso pia ametaka washukiwa wahukumiwe hata bila kuwepo mahakamani, kufuatia sheria mpya ya Rais Javier Milei.

Washukiwa ni maafisa wa zamani wa Iran na Hezbollah. Iran imekana kuhusika, lakini mahakama ya juu ya Argentina iliamua kuwa Iran na Hezbollah walihusika. Rais Milei ameahidi kuwawajibisha wahusika na kuitangaza Hamas kama kundi la kigaidi, akiilaumu Iran kwa ugaidi wa kimataifa.

=========================================

Prosecutor Sebastián Basso, who replaced the late Alberto Nisman, asked federal judge Daniel Rafecas to issue national and international arrest warrants for Khamenei, according to Argentine paper Clarin.

Basso also requested the application of trial in absentia for the remaining Iranian and Lebanese suspects named in the case.

Some of the high-level officials accused in the bombing case include former Iranian President Akbar Hashemi Rafsanjani, who has since died, then-Foreign Minister Ali Akbar Velayati, and former Intelligence Minister Ali Fallahian.

Others include former IRGC commander Mohsen Rezaee, former Quds Force commander Ahmad Vahidi, former Iranian diplomat Ahmad Reza Asghari, former cultural attaché Mohsen Rabbani, and Imad Mughniyeh, the late Hezbollah operations chief.

The move follows the passage of a law promoted by President Javier Milei last year, allowing trials in absentia in cases involving grave crimes.

Source: Iran International

Screenshot_20250410-124918.png
 
Ila Natenyahu kukamatwa tena na ICC hukupata kusikia?

Ama kwa kupenda huku kwa chongo bila shaka uko nalo kibindoni lile jina pendwa.
 
Ila Natenyahu kukamatwa tena na ICC hukupata kusikia?

Ama kwa kupenda huku kwa chongo bila shaka uko nalo kibindoni lile jina pendwa.
Sasa kama hamas wana huyu malaya wao ICC unategemea kwanini wasitake kukamata netanyahu na wasikamate mabwana zao wa hzibullah ambao ndio magaidi.

Aya niambie leo mnaua wangapi maana vifo ndio pumzi yenu.
Screenshot_20250410-130759.png
 
Sasa kama hamas wana huyu malaya wao ICC unategemea kwanini wasitake kukamata netanyahu na wasikamate mabwana zao wa hzibullah ambao ndio magaidi.

Aya niambie leo mnaua wangapi maana vifo ndio pumzi yenu.
View attachment 3298990

Sasa kama huyo uliyemweka hapo ana was*nge wake Tel Av*v kwanini huu wako nao usiwe ni ush*zi tu kama mwinginewe, wowote?
 
Sasa kama huyo uliyemweka hapo ana was*nge wake Tel Av*v kwanini huu wako nao usiwe ni ush*zi tu kama mwinginewe, wowote?
Screenshot_20250410-131204.png

Ebu angalia lebanon kabla wanyonya mk ya mbuzi, wabakaji watoto wa miaka 9 hawajaleta ushoga wao

Lakini k+++ zenu zinasimama kuelekea marekani na israel utafikiri anaeleta maafa hayupo ndani mwenu mnakatikia.
 
View attachment 3298991

Ebu angalia lebanon kabla wanyonya mk ya mbuzi, wabakaji watoto wa miaka 9 hawajaleta ushoga wao

Lakini k+++ zenu zinasimama kuelekea marekani na israel utafikiri anaeleta maafa hayupo ndani mwenu mnakatikia.

"Ujinga mzigo. "

Wapi duniani hapa makaburi hayapo ndugu?

Hebu mwulize kila aliyepata kufiwa popote akwambie kumbe yapo matamu yapi, wapi duniani humu?

Bure kabisa!
 
Sasa kama huyo uliyemweka hapo ana was*nge wake Tel Av*v kwanini huu wako nao usiwe ni ush*zi tu kama mwinginewe, wowote?
Screenshot_20250410-131656.png

Watu wenye kuamini upuuzi kama huu nani awachukulie serious.

Nyie sio wanadamu, nyie ni mashetani yanayoishi na watu ili kuendeleza vice, chaos na machafuko

Aya niambie mama yako na dada yako umewapa jina gani la mnyama punguani wewe???
 
Ujinga mzigo - wapi duniani hapa makaburi hayapo ndugu?

Hebu mwulize kila aliyepata kufiwa popote akwambie kumbe yapo matamu yapi, wapi duniani humu?

Bure kabisa!
Niue basi ukale malaya 72 🤣🤣🤣
Screenshot_20250410-132334.png
 
View attachment 3298997
Watu wenye kuamini upuuzi kama huu nani awachukulie serious.

Nyie sio wanadamu, nyie ni mashetani yanayoishi na watu ili kuendeleza vice, chaos na machafuko

Aya niambie mama yako na dada yako umewapa jina gani la mnyama punguani wewe???

Tuko busy zaidi na yaliyo ya muhimu:

1744224725751.png

Kwetu wengine haya mengine ni maangalizo tu ndugu.

Kuitwa mahakamani? Aitwa Trump ije kuwa Kamenei?

Hebu fikiria nje ya box japo mara 1 kwa wiki?
 
View attachment 3298979
View attachment 3298980

Sebastián Lorenzo Basso, mwendesha mashtaka mkuu katika kesi ya shambulio la bomu la AMIA mwaka 1994 katika Kituo cha Jumuiya ya Wayahudi, anaomba hati ya kimataifa ya kukamatwa kwa Kiongozi Mkuu wa Iran kwa "kuhusika moja kwa moja" katika shambulio hilo.

Hongereni sana Argentina, kamateni huyu tapeli.
Anatumika na wamarekani ili kupata sababu ya kuishambulia IRAN!!
 
Katika hali tu ya kawaida unamkamataje mtu ambaye analindwa masaa 24, hana muda kusafiri kwenda nchi yoyote ile! Kiongozi mkuu wa nchi ya kibishi kama Iran!
Not serious at all.
 
Ila Natenyahu kukamatwa tena na ICC hukupata kusikia?

Ama kwa kupenda huku kwa chongo bila shaka uko nalo kibindoni lile jina pendwa.
Wewe umeshaandika ya Netanyahu unatosha, acha na mwingine aandike ya Khameney.
Unataka habari zote aandike mtu mmoja?
 
Back
Top Bottom