Argentina yatoa amri ya kukamatwa kwa Waziri wa Iran aliyelipua bomu nchini humo

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,701
48,513
Hilo bomu alilipua mwaka wa 1994 kule Argentina......

---
The Argentinian Foreign Affairs Ministry made an official request to arrest Iranian Interior Minister and former Quds Force commander Ahmad Vahidi for his role in the 1994 AMIA bombing, the ministry announced Wednesday morning.

The AMIA suicide bombing occurred on 18 July 1994 in Buenos Aires, Argentina, and targeted the Asociación Mutual Israelita Argentina, a Jewish Community Center.

"Argentina demands the international arrest of those responsible for the 1994 AMIA attack, which caused the deaths of 85 people, and those who continue in their positions of power with total impunity. One of them is Ahmad Vahidi, who was one of those responsible for the attack," the country's foreign affairs ministry said in a statement posted on their social media.

The statement continued, "This individual is currently joining a governmental coalition that is traveling to Pakistan and Sri Lanka. On this mark, upon request of the Argentinian authorities, the Central Office of Interpol has issued a red notice for his arrest."

Argentina.jpg

Firefighters and police officers search for victims of the AMIA center bombing in Buenos Aires, July 18, 1994. (credit: Ali Bufari/AFP/Getty Images)​

Process of arresting Vahidi

Also, in the statement, Argentina has requested that the Pakistani and Sri Lankan governments for Vahidi's arrest, according to the mechanisms provided by Interpol.

Argentina is utilizing its foreign and security ministries, as well as its embassies in Pakistan and India, to assist in Vahidi's arrest. Additionally, Interpol's National Central Bureaus in Buenos Aires has asked its counterpart in Islamabad to detain Vahidi in order to extradite him to Argentina, according to the statement.

Source: Argentina seeks arrest of Iranian Interior Minister Ahmad Vahidi for 1994 AMIA bombing
 
Naona upo kimya mwanaharakati nn kimekukumba
Anaomboleza kifo cha CDF wa Kenya, unjua rushwa ilivyo kithiri huko kwao hadi jeshini wakawa wananunua mihelikopita scrapers. Sasa hiyo mihelikopita imekuwa imekuwa ni Kama makaburi yanayotembea, jamani wakenya ninyi kwa kupenda kitu kidogo!!! Ona Sasa madhara wanayoyapata. Ni aibu kubwa kwa KDF na ndo maana waliwakimbia M23 huko Kongo. Naanza kupata wasiwasi hata silaha walizo nazo zaweza kuwa ni zile za kuwindia ndege huko Tsavo.
 
Anaomboleza kifo cha CDF wa Kenya, unjua rushwa ilivyo kithiri huko kwao hadi jeshini wakawa wananunua mihelikopita scrapers. Sasa hiyo mihelikopita imekuwa imekuwa ni Kama makaburi yanayotembea, jamani wakenya ninyi kwa kupenda kitu kidogo!!! Ona Sasa madhara wanayoyapata. Ni aibu kubwa kwa KDF na ndo maana waliwakimbia M23 huko Kongo. Naanza kupata wasiwasi hata silaha walizo nazo zaweza kuwa ni zile za kuwindia ndege huko Tsavo.

Mnawindwa kote na maugaidi yenu, mkiambiwa mnasema udini.
 
Back
Top Bottom