Labda wew ni mjukuu wake tutajuaje!!Watu mnashindwa kujua Mzee Moyo alikuwa ninani, Mimi Nina miaka 22 lakini namjua Mzee Moyo
RIP! Naomba kuuliza , kwake ni Tanga, halafu akwa mwasisi wa siasa za Zanzibar, kwa vipi?Mwanasiasa mkongwe na mwasisi wa Mapinduzi Zanzibar, Hassan Nassor Moyo amefariki usiku wa kuamkia leo nyumbani kwake mkoani Tanga
Poleni wafiwa.
Wengi hatumfahamu, hivyo tunaomba mleta uzi utupo japo kidogo wasifu wake au huyo marehemu alikuwa nani?
Amesema MZEEWatu wanakurupuka tu ili mradi awe wa kwanza kupost uzi.
Mimi ni muhaya.Labda wew ni mjukuu wake tutajuaje!!
Amesema mzeeHuwa mnakasi ya kipanga kupost nyuzi sijui kwa sababu gani tu!
Picha ina sura mbili, sasa nani ndiyo nani?
Ukiamua kuhabarisha umma, jitahidi kudhibiti maswali yanayojengwa juu ya maswali kwa kuifafanua mada na kuweka wasifu wa mhusika.
Mtanzania huruhusiwa kuishi popoteRIP! Naomba kuuliza , kwake ni Tanga, halafu akwa mwasisi wa siasa za Zanzibar, kwa vipi?
Mzee Ruksa anaishi wapi sasa hivi?RIP! Naomba kuuliza , kwake ni Tanga, halafu akwa mwasisi wa siasa za Zanzibar, kwa vipi?
Mkuu breaking news mara nyingi huja na heading tu na bila hata ya briefing. Baadae hufata maelezo ya kutosheleza. Nafahamu wengi tunakuwa na hamu sana ya kupata taarifa kamili. Nashauri reaction ya kwanza iwe ku google kwa mtaarifiwa.Hivi ukiwa wakwanza kupost mtu anapata bakshishi yoyote toka Jf...
Wengi Wana haribu hii forum. Nashauri Moderator waongeze ban hasa kwa wale wanao tukanaka.
huyu kwao ni kivule maeneo ya ChanikaMzee Ruksa anaishi wapi sasa hivi?
Sasa nimemfahamu Idris Sultan baada ya kuangalia hizo suti za 1960's.Huyu hapa View attachment 1540843View attachment 1540844
Sent from my ANE-LX1 using JamiiForums mobile app
Ok hawataki kukaa Zanzibar!Mzee Ruksa anaishi wapi sasa hivi?
Amefia Tanga anapelekwa ZanzibarPoleni, na msiba umetokea Ruvuma au Unguja au Dar es salaam
YesHuyu mzee nyumba yake ipo hapa karibu na Songea Club?