MWANZA: Viongozi 15 wa CHADEMA wahamia CCM

Status
Not open for further replies.
walikohamia kuna Maji diwani, yule ex mbunge kinondoni n.k . Hii ni akili ya panzi ya kuchomeka kichwa kwenye majani na kuacha matako na miguu hewani.
 
Mtu yeyote mwenye kuelewa lazima awaunge mkono hawa waungwana.

[HASHTAG]#gwajimahunaphdachausanii[/HASHTAG]
 
CHADEMA YAPATA PIGO KUBWA MWANZA

Uongozi mzima wa CHADEMA wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza Leo umekihama chama hicho na kujiunga na CCM, sababu ni uamuzi wa juu wa CHADEMA kumpokea Wema Sepetu kujiunga na CHADEMA.

Viongozi 15 wilaya ya Ilemela akiwemo Mwenyekiti wa chama hicho Damas Kimenyi, kujiunga CCM. Wamshutumu Freeman Mbowe (Mwenyekiti Taifa CHADEMA) kwamba anaunga mkono matumizi ya dawa za kulevya nchini.
Waende tu
 
Wana mwanza wameamka sana sikuhizi, nahuyo kijana wa koromije atawaamsha vijana wengi
 
Ongera zao ni haki ya kikatiba..ila wanahisi ngosha atawapa vyeo nn..hapo wasahau ccm tumepunguza vyeo visivyo na ulazima
 
Hebu tuwe na fikra yakinifu, kuna viongozi na wachumia tumbo, kiongozi gani hata mtaa wa pili hafahamiki? Sema walokuwa wanachama flani ndo utaeleweka
 
CHADEMA YAPATA PIGO KUBWA MWANZA

Uongozi mzima wa CHADEMA wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza Leo umekihama chama hicho na kujiunga na CCM, sababu ni uamuzi wa juu wa CHADEMA kumpokea Wema Sepetu kujiunga na CHADEMA.

Viongozi 15 wilaya ya Ilemela akiwemo Mwenyekiti wa chama hicho Damas Kimenyi, kujiunga CCM. Wamshutumu Freeman Mbowe (Mwenyekiti Taifa CHADEMA) kwamba anaunga mkono matumizi ya dawa za kulevya nchini.
Hii thread ni ya uzushi na uongo uliopitiliza! Ni thread ya kujipa matumaini hewa! Huyo Damas anafahamu kwamba hakuwa tena mwenyekiti wa Chadema wilaya ya Ilemela baada ya Kamati Tendaji ya wilaya hiyo kuvunjwa na viongozi kutakiwa kuomba upya nafasi hizo. Wenzake waliomba yeye na kundi lake alisita kuomba kwa kuwa alikuwa anajua asingeweza kushinda kutokana na kubainika kwa hujuma alizokuwa anakifanyia chama!

Damas huyu ni yule kijana aliyekuwa akipendwa na Chadema kabla haijabainika kuwa yeye na wenzake wachache kutokana na kuendekeza njaa walitumika kuhujumu Chadema katika uchaguzi uliopita na kutumika kusaidia ushindi wa Mama Mabula wa CCM. damas ni yule ambaye aliomba kugombea ubunge kupitia Chadema akaambulia kura nne. Sasa kudai kwamba huyo mtu ni mwenyekiti wa Chadema wilaya ya Ilemela ni uongo wenye nia ovu! Damas atakuwa amejiunga na CCM akiwa hana wadhifa wowote ndani ya Chadema!
 
CHADEMA YAPATA PIGO KUBWA MWANZA

Uongozi mzima wa CHADEMA wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza Leo umekihama chama hicho na kujiunga na CCM, sababu ni uamuzi wa juu wa CHADEMA kumpokea Wema Sepetu kujiunga na CHADEMA.

Viongozi 15 wilaya ya Ilemela akiwemo Mwenyekiti wa chama hicho Damas Kimenyi, kujiunga CCM. Wamshutumu Freeman Mbowe (Mwenyekiti Taifa CHADEMA) kwamba anaunga mkono matumizi ya dawa za kulevya nchini.

Mbona bado sana, Mbowe anakizorotesha chama...huyu msipo mwangalia anaweza kuwa Zitto wa pili, shauri yenu wana Chadema....mtabaki na machungu mpaka mwisho na nchi hamchukia ikiwa bado mko na Mbowe.
 
CHADEMA YAPATA PIGO KUBWA MWANZA

Uongozi mzima wa CHADEMA wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza Leo umekihama chama hicho na kujiunga na CCM, sababu ni uamuzi wa juu wa CHADEMA kumpokea Wema Sepetu kujiunga na CHADEMA.

Viongozi 15 wilaya ya Ilemela akiwemo Mwenyekiti wa chama hicho Damas Kimenyi, kujiunga CCM. Wamshutumu Freeman Mbowe (Mwenyekiti Taifa CHADEMA) kwamba anaunga mkono matumizi ya dawa za kulevya nchini.
kama wanachama wanaondoka waondoke hii demokrasia huwezi kuwazuia
Chadema inapokea wanachama kila siku wwalitoka ccm wanarudi nyumbani ccm ache wasepe meli yetu inaendelea ma safari
 
CHADEMA YAPATA PIGO KUBWA MWANZA

Uongozi mzima wa CHADEMA wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza Leo umekihama chama hicho na kujiunga na CCM, sababu ni uamuzi wa juu wa CHADEMA kumpokea Wema Sepetu kujiunga na CHADEMA.

Viongozi 15 wilaya ya Ilemela akiwemo Mwenyekiti wa chama hicho Damas Kimenyi, kujiunga CCM. Wamshutumu Freeman Mbowe (Mwenyekiti Taifa CHADEMA) kwamba anaunga mkono matumizi ya dawa za kulevya nchini.
Mwambieni hasikii
 
Umeandika Kichama Zaidi Nimeangalia ITV Sasa Hivi
Hajatajwa Wema Sepetu Wala Mbowe

Walichosema Wamehamia Ccm Kwa Vile Wameamua Kumuunga Mkono Rais Mheshiwa Magufuli.
 
Ni haki yao kuhamia chama chochote, hata cha Dovutwa.
Tatizo lipo kwenye media zetu kueneza propaganda, au ukosefu wa weledi; hivyo kupotosha maana nzima ya tukio.
 
Mwendo wa njaa tu hakuna lolote njaa tu hata wale madiwani wa shinyaga walikuwa kama Hawa bila kumsahau kashide kahama
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom