Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,313
- 18,510
Aisee yaani kuna watu wasipobishana hawaoni kama wako JF hata mada haitaki kubishana mtu anakomaa aanzishe ubishiBora umempasha huyo kubwa jinga
Aisee yaani kuna watu wasipobishana hawaoni kama wako JF hata mada haitaki kubishana mtu anakomaa aanzishe ubishiBora umempasha huyo kubwa jinga
ghorofa la j4 hapo haliwezi kuonekana kwani halipo kwenye mtaa huo aliopigia picha,Nitajitaid ndugu yangu elungata nifike kolomije ni wap kwa hapo nioneshe ghoropha la kishimba na gwajima na bashite na shigongo
Kalibu sana kibiti mkuu
Mwz is second to DARHivi jiji kubwa ikitoka dar ni wap vile .....??? Maana usiweke ligi tu hapa ...na ukijibu nambie baada ya dar ni jiji gani lilifatia mupewa sifa ya jiji .
pamoja sana mkuu.Kuzuri sana kazi nzuri Laizerg
Ukija nishitue ndugu yangu nitakusaidia kukusanyaghorofa la j4 hapo haliwezi kuonekana kwani halipo kwenye mtaa huo aliopigia picha,
kibiti ntakuja kununua mkaa huko,nimepata tenda ya kupeleka yemen
Inafuata Mwanza.....kuanzia population, income, cleanness, money circulation, malls na mengine kedekede. (Source NBS)Hivi jiji kubwa ikitoka dar ni wap vile .....??? Maana usiweke ligi tu hapa ...na ukijibu nambie baada ya dar ni jiji gani lilifatia mupewa sifa ya jiji .
Wajanja wanakula mapanki!?Hata rais wa awamu ya 6 atatoka jiji la wajanja mwanza
maneno kama haya ni ya mtanzania asiye a staha. kuwa mstaarabu madam we ni mtanzania unacholazimisha wewe udhi haukuruhusu. by the way kwanini tugombanie fito?Wajanja wanakula mapanki!?
Kwahio huu mji ndio mnalinganisha na Arusha ? Wasukuma mnatabu kwelikweli.