boja
Member
- Nov 8, 2012
- 74
- 189
Me ndo hua nashangaa Polisi wanageuka TRA wanatutangazia mapato eti mwezi huu tumekusanya 1B Akat kazi yao ya ulinzi wameeacha dah kweli Tz kazi kweli kweli hiv hata hyo mkulu wa polisi hua haoni aibu kusimama na kuanza taja mapato waliokusanya akat si kazi yake kbs.