Mwanza 1907

Maeneo ya wapi hapo mkuu, l mean Mwanza mjini, nyegezi, sahara, au wapi?
 
Maeneo ya wapi hapo mkuu, l mean Mwanza mjini, nyegezi, sahara, au wapi?
Hapo panaonekana kama ni pale ferry kama unaelekea Capri point, kwenye Picha wamelikwepa kidogo jiwe la Bismarck rock, hicho ndio kijiji changu maskini! Sasa sina kijiji tena! Nikifika napokelewa na mahoni ya gari, mioshi, makelele ya mdadaladala, treni! Ah! Bora ambao bado wana vijiji makwao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…