Aisee Mungu huyu nitamshukuru kila wakati. Nakumbuka kuna kipindi maisha yalikua magumu hata mno magumu mpaka basi hata pesa ya kula ilikua mtihani kila kitu kilivurugika
Mwanaume usiombe unaamka asubuhi jana usiku umelala njaa una mke na mtoto kunakucha hujui uende wapi huna mishe yoyote unatakiwa ulete chakula nyumbani nauli tu mfukoni hauna simu haina salio duu
Unaweza kujiona kama umetwishwa hii dunia unaweza hisi umelogwa au umelaaniwa ukijicheki una degree kichwa lkn what is degree mtaani. Kinachotakiwa ulete chakula mezani ulipe bills za watu
Nakumbuka siku napita sehemu watu wanatafut kibarua wa kwenda kupalilia mahindi ekari moja shiling elfu 30 nikaomba wanichukue wakagoma eti naonekana mtoto wa mama nikaforce saana mpk wakanikubalia kwa kujieleza saana yaan kibarua cha kulima mpk ufanye interview aaah hapana
Niliamka asbuhi saana siku inayofat nikawah kijiwen kumsubria boss atupeleke shambn.boss akafik akanitilia mashak km ctawez kulima. Ikabidi nimshawish akakubl tukaingia kwenye gari tukafik center flani akatup advance nikatum nyumbn faster tukaingia shamba lenye hekar kumi na tupo watatu tukagawan boss akaondok akatuach shamba Kuna banda lipo tukawa tunalal umo tukaanza kaz ndani ya siku sita kazi tukamaliza na kurud mjin
Siku moja usiku nliamka nikamwangalia wife na mwanangu na shida ninazopitia nikajiuliza kosa la hawa viumbe ni nini nikajikuta nalia mwenyewe wao wamelal usingizi mzito. Nikamuuliza Mungu kama Mimi Nina dhambi huwezi kunipa riziki basi nipe za hawa viumbe wako wao hawana makosa
Thanks God sijafika lkn nlipokua jana sipo, nilicho jifunza maisha hya hayana magumu yasiyo na mwisho cha muhimu ni kupambana kutokat tamaa na kumwomba Mungu Alie tumaini letu.
Vijana hasa wenye degree usichague kazi kama umetoka familia masikini