Mwanaume ukipendwa pendeka

Labda umezidisha mizinga na invoices nyingi kiasi kwamba anakukwepa hadi apate hiyo pesa ...maana kwa uchunguzi wa nataka wanawake wengi wanaongoza kuwa tegemezi hili linawaharibia sana....mwanaume kabla hujaongea unajua kile unachotaka kumuambia...
 
Ni kweli usemayo kabisa,
Kuna wakati nliwahi kujiuliza hivi huyu ni mnyama ama binadamu? Yan hata majini wana hisia...kuna jamaaa yang aliwah kuniambia alimpata mwanamke jini na walikua wanapendana hakuna mfano, na wakati jamaa alipokua anamueleza mambo yaliyowahi kumuumiza moyo maishani wakat wamekaa wanapiga stor bas ananiambia dada.jini huyo ambae jamaa yang anasema ana uzur wa ajabu, alikua analia wakati mwingine ...yan alikua ana hisia na huruma mno...lakin ni jini...
 
"TRUE LOVE NEVER COME TWICE"
Endelea kujidanganya hivyo hivyo mkuu
 
Daah haya mambo bhana, nilishakutana na bint dizain hiyo. Hambilik wala hashaurik na hapendiki. Nikaamua KUMWACHA AENDE, nilivyomuacha akapata mtu na walikuwa too close. Mungu hamtupi mja wake akanipa kimwana from tanga mapenz yalikozaliwa wallah nilijihis nimezaliwa upya yaan ni full malovee, now ni mke wangu halali wa ndoa. Yule Pasua kichwa anarud analia, anasema jamaa ake alikuwa shetan kwan alikuwa anampiga halafu kamfumania mara kibao. Kampa mimba kamtelekeza. Goes around comes around, mwache aende utapata mfalme wa roho na papuchi yako!
 
Asanteh sana mleta uzi...
Wanaume wengi hawa jui kupenda na kumtenndea baya mwanamke wake ni Kama kunywa kahawa umekunja nne
 
Napenda kwa ajili ya sex tu. Hamu ikikata, mwanamke wala usijisumbue kunitafta, subiri mpaka nikutafte vinginevyo utajiumiza na kutoa mapovu mbele za watu tu.
 
Back
Top Bottom