Mwanaume kuzirazira sababu yake nini?

Kuzila zila = Kuzira zira

Habari za usiku , Kuna mwanaume nimedumu nae kwa takriban miez 5 mpaka sasa lakni kitu kinachonikera ni mtu wa kuzila zila na kususa susa sana mpaka najiuliza huyu ana mapenzi ya dhati kweli maana mm najua mwanaume hasusi na hasa kwa mwanamke ampendae na pia huwa sio MTU wa story yaani anaweza mkakaa hapo kimya mpaka uanze ww kuongea .na wakati mwingine simu anaweza akakaa siku nzma asipige au akipiga anaongea maneno mawil tu keshakata, naomba wenye experience na mapenzi hii ikoje hasa katk mahusiano ..
 
hayo mawazo ya wanawake.. ungejua kwa nini wanaume wananunua malaya au kupiga nyeto ungeelewa... hela ndio kila kitu kwa mwanaume kamili.. mapenzi ni nyongeza tu...
Hahaaa mkuu unajitekenya halafu unacheka mwenyewe ila hii kauli yako inasemwa sana na wanaume waliotendwa .. Mapenzi kitu kingine ndugu hayana jinsia
 
Habari za usiku , Kuna mwanaume nimedumu nae kwa takriban miez 5 mpaka sasa lakni kitu kinachonikera ni mtu wa kuzila zila na kususa susa sana mpaka najiuliza huyu ana mapenzi ya dhati kweli maana mm najua mwanaume hasusi na hasa kwa mwanamke ampendae na pia huwa sio MTU wa story yaani anaweza mkakaa hapo kimya mpaka uanze ww kuongea .na wakati mwingine simu anaweza akakaa siku nzma asipige au akipiga anaongea maneno mawil tu keshakata, naomba wenye experience na mapenzi hii ikoje hasa katk mahusiano ..
Mim pia huwa sina kawaida ya kumpigia mwanamke wangu labda anipigie yeye ila nampenda sana NA sio miez 6 ni miaka 4 kwahyo kila mmoja na hulka yake ila ukwel anao moyoni
 
Back
Top Bottom