Mwanaume kuchelewa kumaliza katika tendo la ndoa

Mimba ya jamii forums hii!!! Kwanini usimweleze ukweli mumeo mkajadili jinsi ya kufanya?
 
Kuwa mwangalifu na vyovyote utavomwambia kwani anaweza kutengeneza kamchepuko.
Ungeelezea mnavovinjari mkiwa kunako Sita ningepata picha na namna ya kukushauri.
Anyway, nakushauri ongeza mautundu ikiwemo kukata mauno
Mauno na tumbo? usimshauri vibaya mwenzio.
 
natumai wazima.nlikuwa naomba msaada jinsi ya kumsaidia mume wangu kufika kileleni haraka. mimi ni mjamzito wa miezi saba sasa na mume wangu huwa anachukua karibia saa nzima ndo amalize na mimi huwa najitahidi sana lakini nachoka sana.je nawezaje kumsaidia afike kileleni haraka na ujauzito huu?
Pigeni romance ikiwezekana uwe unaonyonya uume wake na kugusa sehemu mbalimbali ambazo ananyegeka ikiwezekana hata korodani nazo unazimumusa au kuziminya minya kwa upole wakati unamnyonya dushelele lake alafu ukiona kazidiwa mnamalizia kwenye K
 
Huwa mnafanya mara ngapi kwa wiki?....kwa sababu kuna uhusiano wa mwanaume kufanya mapenzi mara kwa mara na kuchelewa kufika kileleni!.....mwanaume anaefanya mapenzi mara kwa mara huchelewa sana kufika kileleni!
 
Haya madhara ya kitchen party ya siku moja,mara nyingineee wanawake hawajui wanataka nini kwenye ndoa zao....
 
Huwa mnafanya mara ngapi kwa wiki?....kwa sababu kuna uhusiano wa mwanaume kufanya mapenzi mara kwa mara na kuchelewa kufika kileleni!.....mwanaume anaefanya mapenzi mara kwa mara huchelewa sana kufika kileleni!

ni kama mara nne
 
samahani kaka sijaja kuanika nimekuja tu kuomba msaada sababu nina mimba nachoka
kunabaadhi ya vinywaji na chakula huchangia hali hiyo japo zipo dawa pia hasa za jadi zinafanya mwanaume achelewa kumaliza kama atakuwa anazitumia aache plz.
 
unahakika mumeo hachepuki hasa ktk kipindi hiki cha ujauzito wako??
natumai wazima.nlikuwa naomba msaada jinsi ya kumsaidia mume wangu kufika kileleni haraka. mimi ni mjamzito wa miezi saba sasa na mume wangu huwa anachukua karibia saa nzima ndo amalize na mimi huwa najitahidi sana lakini nachoka sana.je nawezaje kumsaidia afike kileleni haraka na ujauzito huu?
 
mwambie akuonee huruma , katika hali hiyoo still bado anachelewaa

√√alivyokuwa na visa huyo.kidume ukisha zaa tiale atakuwa anawahii kumaliza, ndo utajua kwa nini sigara Kali unaweza washa upande wowote na ukavuta upande wowote

Back
Top Bottom