Mwanaume chelewa kurudi nyumbani

Hahahah ukistajabu ya musa utayaona ya firauni!!!!mume wangu achelewe aone!!!! Tutaambiana huko aliko kuwa ni wapi? Huyu mke wa jamaa haja fundwa!!!!! Atafute. Nyumba ndogo amshikishe adabu pumbafu sana huyu mwanmke!!!!
 
huyu mwanamke atakuwa anachepuka nje na inavyoonekana kakolea kwel anataman awe jamaa mda mrefu halafu huyo ndguyo anaambiwa achelewe ili Dem apate muda wakujitanua mwambie afanye research ushuhuda alete hapa jamvini ..
 
Anamapepo huyo mwanamke pia huyo mwanaume kama nguvu ya familia hana ata kauli yaku hoji dar Kali.wakati Mimi nikichelewa naingia na gear ya foreni
 
huyu mwanamke atakuwa anachepuka nje na inavyoonekana kakolea kwel anataman awe jamaa mda mrefu halafu huyo ndguyo anaambiwa achelewe ili Dem apate muda wakujitanua mwambie afanye research ushuhuda alete hapa jamvini ..
Hapo umeongea la maana
 
itakua huyo jamaa ni mzigo kwa mkewe.. hana vitu vinavyomfanya mkewe amhitaji au ammiss in short sio creative katka ndoa yake.., labda hana story na mke.. mke akikosa story wanaangaliana tu.. kama vikombe kabatini.. unadhan mwanamke atakua na ham nae kweli? aje amuulize mkewe ni kwann anataka ye achelewe..
af nae anakubali kweli? unaambiwa chelewa kurudi bila kuelezewa sababu unatii? daah wanaume tunapungua kabisaa..
 
Hizi ndo tabuu za nyumba za kupanga yaani vyumba vyote wanaume wanachelewa kurudi. Mchana wanaanza kumsema mwanaume anayewahi home kuwa ni mshamba kumbe wao wameshindwa jinsi ya kuwawaisha hakuna mwanaume anayewahi nyumbani kama uko nyumbani hakuna amani walio wengi tunachelewa kukwepa kero za wenzetu
 
Ahahaha wanamke always huwa wanapenda waume zao wanywee home ili wawe home!
Mm wife ananikera sana,kama kuna soka anaenda mwenyewe kununua bia za kutosha na kuweka kwenye friji ili nisitoke!

Bia za kunywea home mwenyewe hazinogi kabisa
 
Jamaa yangu anaambiwa na mkewe achelewe kurudi kama wanaume wengine.
Mshikaji hapigi tungi hapendi soccer michepuko mara chache.Amekuwa benet na mimi.Namuona anaboeka anakunywa maji tu na soda mpaka saa tano,hata derby kali vipi anasinzia.Kisa mkewe kamkataza asirudi mapema home.

Swali:Kwani mwisho wa sisi wanaume kurudi home ni mida gani?Na tumshauri afanyeje?
siku nyingine.. mshauri asirudi kabisa alale huko huko afu urudi kutupa feedback sawa?
 
Inawezekana kuna mchepuko ambao lazima upewe kwanza mambo halafu jamaa anakuta makombo!
 
Ahahaha wanamke always huwa wanapenda waume zao wanywee home ili wawe home!
Mm wife ananikera sana,kama kuna soka anaenda mwenyewe kununua bia za kutosha na kuweka kwenye friji ili nisitoke!

Bia za kunywea home mwenyewe hazinogi kabisa
Siku ya mpira namruhusu na matokeo nayataka! Nashukuru Mungu kilevi hatumii ndo maana namruhusu kujichanganya Na sitaki kudanganywa (coz nafuatilia )

Akichelewa poa but with concrete reason,

In short 24/7 simchoki mme wangu!
Achelewe!!!? wapi? ? ? Kwanza hizo simu zitakavyopigwa Atarud mwenyewe!

Ratiba yangu ya kazin anaijua yake naijua! Tunachart, mipango naijua, unachelewea wapi kwa mfano?

Nitafutien huyo dada nina shida naye
 
Mwanamme kunywea home wkt ligi ya Ukaya wanacheza ni ubwege!

Mm huwa natoroka hata nimevaa malapa aisee!Siku hizi kaisha zoea akija bar nilipo anakaa pembeni anakunywa wine hadi game iishe!
 
Jamaa yangu anaambiwa na mkewe achelewe kurudi kama wanaume wengine.
Mshikaji hapigi tungi hapendi soccer michepuko mara chache.

Amekuwa benet na mimi.Namuona anaboeka anakunywa maji tu na soda mpaka saa tano,hata derby kali vipi anasinzia.Kisa mkewe kamkataza asirudi mapema home.

Swali: Kwani mwisho wa sisi wanaume kurudi home ni mida gani?Na tumshauri afanyeje?
Mwelekeze kwetu awe anakuja tupige story&movies
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom