Mwanaume bumburuka acha uboya wa hivi

Mkeo anakuaga leo anakwenda saloon au kwenye kikao cha kina mama, anaoga anaingia chumbani anaanza kuvaa, anashika chupi ya kwanza anataka kuivaa anaiacha anachagua ya pili anaitazamaa anaiacha pia anaona ya tatu ndo inafaa kisha anavaa.

Wewe umelala tu kitandani unachat kwenye whatsapp hujiulizi swali "anachagua chupi nzuri ili nani akaione, kama kuna chupi mbaya kwenye list si azitupe anunue mpya".

Anakuaga anaondoka na wewe unamwambia poa mchana mwema wasalimie uko town, halafu ukiitwa fala unakuja juu eti "ooh mi mtoto wa mjini nimezaliwa ocean road".
you are crazy and smart at the same time
 
I see you trying to express misery you went through
 
Mkuu au avae kama ya yule msanii anayejiita...
 
Daaah haya maisha tunaishi kwa imani tu,ukifuatilia sana huwezi fika hata lifespan ya mtanzania
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom