Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 19,520
- 25,498
Hii inafikirisha sana na inaonesha ni kwa namna gani wanawake wengi ni wabinafsi.
Mwanaume akipata pesa atakachofikiria kuoa na kupata watoto na kuendeleza familia iwe bora zaidi .
Ila sasa kwa wanawake wakishapata pesa tu cha kwanza watakachofikiria kama yupo ndoani atataka avunje hiyo ndoa abaki single mother aitwe Super woman kwenye jamii inayomzunguka yeye hiyo ndiyo furaha yake.
Wanawake wengi wanaingia ndoani kutokana na ugumu wa maisha hivyo suluhisho pekee anaona bora aolewe atatuliwe shida zake.
Ila sasa akishapata pesa atafanya juu chini aivunje hiyo ndoa na atasingizia mengi sana ikiwemo kulazimishwa kuolewa.
Vijana tafakarini sana ,kama hakuna ulazima wowote wa kuoa bora usioe ,wanawake wa siku hizi wamebadirika sana, wengi wapo kimaslahi sana na wanayoyaona mitandaoni yanazidi kuwaharibu.