Pre GE2025 DSM Mwanasheria Martha Karua atua Kisutu kutoka Kenya kumpambania Tundu Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Heparin

JF-Expert Member
Sep 24, 2021
264
1,365
Wakili Mpale Mpoki anayeongoza jopo la Mawakili wa Kumtetea Tundu Lissu ameimbia mahakama kuwa leo kuna observe kutoka Kenya Wakili nguli Martha Karua. Lakini pia yupo Wakili Ferdinand Makore na Michael Lugina kwa upande wa utetezi.

Martha Karua ni mwanasiasa mashuhuri wa Kenya, wakili wa Mahakama Kuu, na mtetezi wa haki za binadamu na usawa wa kijinsia. Alizaliwa tarehe 22 Septemba 1957 katika Kaunti ya Kirinyaga.

Mnamo 2013, Karua aligombea urais kupitia chama cha Narc-Kenya, na kuwa mwanamke wa tatu kuwania nafasi hiyo nchini Kenya. Ingawa hakushinda, alibaki kuwa sauti muhimu katika siasa za kitaifa. Mnamo 2022, aliteuliwa kuwa mgombea mwenza wa urais wa Raila Odinga kupitia muungano wa Azimio la Umoja-One Kenya Coalition Party.

Pia soma Breaking News: - DSM - Tundu Lissu amegoma kesi yake kuendeshwa kwa njia ya Mtandao. Kesi yaendelea Mahakamani
 
Dah serikali itetereke kisa mkenya
NAONA WAMEAMUA KUBEEP “UHAINI”……KESI ZOTE MBILI ZA UHAINI ZILIZOWAHI KUTOKEA ILIKUWA NI KWELI WATU WAMEPANGA NA MAAFISA WAKUBWA TU WENYE UWEZO WA KUFANYA UHAINI PAMOJA NA WANASIASA WA CHAMA TAWALA …
UHAINI SIO SANAA ZA MAONYESHO …..SIO JAMBO LA KULIWAZIA HUKU UKIJUA HALIPO ….WATATOKEA WAHAINI KWELI NA WENYE HUO UWEZO …
 
Wakili Mpale Mpoki anayeongoza jopo la Mawakili wa Kumtetea Tundu Lissu ameimbia mahakama kuwa leo kuna observe kutoka Kenya Wakili nguli Martha Karua. Lakini pia yupo Wakili Ferdinand Makore na Michael Lugina kwa upande wa utetezi.

Martha Karua ni mwanasiasa mashuhuri wa Kenya, wakili wa Mahakama Kuu, na mtetezi wa haki za binadamu na usawa wa kijinsia. Alizaliwa tarehe 22 Septemba 1957 katika Kaunti ya Kirinyaga.

Mnamo 2013, Karua aligombea urais kupitia chama cha Narc-Kenya, na kuwa mwanamke wa tatu kuwania nafasi hiyo nchini Kenya. Ingawa hakushinda, alibaki kuwa sauti muhimu katika siasa za kitaifa. Mnamo 2022, aliteuliwa kuwa mgombea mwenza wa urais wa Raila Odinga kupitia muungano wa Azimio la Umoja-One Kenya Coalition Party.

Pia soma Breaking News: - DSM - Tundu Lissu amegoma kesi yake kuendeshwa kwa njia ya Mtandao. Kesi yaendelea Mahakamani
Ukute CHADEMA wanatengeneza muvi hawatuambii. Mbona wameandaa wachukua matukio kuliko wananchi wa kawaida. Na mastelingi wa muvi ya kufokafoka🤣🤣🤣
 
Wakili Mpale Mpoki anayeongoza jopo la Mawakili wa Kumtetea Tundu Lissu ameimbia mahakama kuwa leo kuna observe kutoka Kenya Wakili nguli Martha Karua. Lakini pia yupo Wakili Ferdinand Makore na Michael Lugina kwa upande wa utetezi.

Martha Karua ni mwanasiasa mashuhuri wa Kenya, wakili wa Mahakama Kuu, na mtetezi wa haki za binadamu na usawa wa kijinsia. Alizaliwa tarehe 22 Septemba 1957 katika Kaunti ya Kirinyaga.

Mnamo 2013, Karua aligombea urais kupitia chama cha Narc-Kenya, na kuwa mwanamke wa tatu kuwania nafasi hiyo nchini Kenya. Ingawa hakushinda, alibaki kuwa sauti muhimu katika siasa za kitaifa. Mnamo 2022, aliteuliwa kuwa mgombea mwenza wa urais wa Raila Odinga kupitia muungano wa Azimio la Umoja-One Kenya Coalition Party.

Pia soma Breaking News: - DSM - Tundu Lissu amegoma kesi yake kuendeshwa kwa njia ya Mtandao. Kesi yaendelea Mahakamani
Hana leseni ya kufanya uwakili Tanzania, afukuzwe sehemu ya mawakili
 
Wabongo ni wapuuzi sana...
 
Back
Top Bottom