Heparin
JF-Expert Member
- Sep 24, 2021
- 263
- 1,364
Wakili Mpale Mpoki anayeongoza jopo la Mawakili wa Kumtetea Tundu Lissu ameimbia mahakama kuwa leo kuna observe kutoka Kenya Wakili nguli Martha Karua. Lakini pia yupo Wakili Ferdinand Makore na Michael Lugina kwa upande wa utetezi.
Martha Karua ni mwanasiasa mashuhuri wa Kenya, wakili wa Mahakama Kuu, na mtetezi wa haki za binadamu na usawa wa kijinsia. Alizaliwa tarehe 22 Septemba 1957 katika Kaunti ya Kirinyaga.
Mnamo 2013, Karua aligombea urais kupitia chama cha Narc-Kenya, na kuwa mwanamke wa tatu kuwania nafasi hiyo nchini Kenya. Ingawa hakushinda, alibaki kuwa sauti muhimu katika siasa za kitaifa. Mnamo 2022, aliteuliwa kuwa mgombea mwenza wa urais wa Raila Odinga kupitia muungano wa Azimio la Umoja-One Kenya Coalition Party.
Pia soma Breaking News: - DSM - Tundu Lissu amegoma kesi yake kuendeshwa kwa njia ya Mtandao. Kesi yaendelea Mahakamani