Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,684
- 149,887
Kapaniki huyo baada ya dawa kumuingiahuu wako sio uzalendo bali ni uzwazwa.
Kapaniki huyo baada ya dawa kumuingiahuu wako sio uzalendo bali ni uzwazwa.
Ah Kumbe wewe ni graduate wa Jana tuMy good DK alinifundisha humanitarian law
Ah Kumbe wewe ni graduate wa Jana tu
Mnatusumbua humu tunadhani mmegraduate miaka 20 hivi nyuma
YEHODAYA mbona unaleta matusi ndugu yangu?Lete hoja ili mjadala upambe moto sio kumtukana mtu.
Uchunguzi wa upande mmoja hauwezi kukubalika katika mahakama za kimataifa na hili ndio kosa kubwa tulilolifanya.Doctor Kilangiee!! nakupinga sasa hatuwezi kuuza nchi kwa ajili ya makaratasi sasa!!!!!!
1. Umezungumzia suala la common heritage kuwa kwa kuwa baadhi ya nchi hazina madini basi iwe ruksa kwenda kuchota kwenye nchi zilizonayo .........Haikubalikiii!!!!! madini ni yetu na suala la madini si kama kwenye "high sea" amabapo kila mtu anaruhusiwa kutembea na kuvua ( shammba la bibi ) @ " RESCOMUNIIS"
2.Eti tutaenda kunyolewa bila maji huko ICSID kwa ku breach 'fair and equitable treatment' Hakuna hiyooo!!! wao wametutendea equity gani mpaka na sisi tuwatendee equity wanatuibia halafu waseme equity " IF YOU NEED EQUITY DO EQUITY:
3. Kwa kuwa hakuna mkataba wa kimataifa ambayo haina claus ya " PACTA SUNT SERVANDA" na kwa kuwa hao "mabwana wakubwa" hawakuiheshimu na wakaendelea kusafirisha mchanga kwa udanganyifu " maana yake hawajaheshimu mkataba" basi automatical doctine ya '' REBUS SIC STANTIBUS '' ita apply na kuufanya huo mkataba usitekelezeke !! yaani umevunyika nganganyanga beyond repair.
Hakuna kitu kaandika mtetezi wa wahuni tu huyo. Atuachie wazalendo tupambane yeye abaki na vifungu koko vya sheria alivyokariri kutetea mabeberu management ya Accacia. Msomi Gani koko huyo asiyejua kuwa kilichokuwa kikifanywa na management ya accacia hakikuwa na baraka ya wanahisa wa Accacia? Ndio maana namuona kibaraka tu wa management ya accacia sio wanahisa wa accacia. Management ya Acacia wamewaibia sana wana hisa wao subiri na ripoti ya makontaina waliyosafirisha miaka yote itoke wanahisa wapate taarifa yake. Huyu mwanasheria koko na wenzie akina lisu watatafuta shimo la kujificha. Mleta mada ni kati ya wanasheria finyu wasioangalia swala kwa upana wake. Kabeba cv kubwa hewa. Kwa sasa wanahisa wako busy kuhakiki je kilichotoka Tanzania kiliwafikia kama kilivyo? Na je makontaina yaliyoondoka nchini yote yalienda kule kiwanda walichokubaliana au kuna yaliyochepushwa kwenda smelters zingine? Macho Ya wanahisa yote yako kwa magufuli wako naye asilimia 100 kwani wanataka ukweli ujulikane kujua kama management imewaibia au la. Wakati wanahisa wako na magufuli wasomi sheria koko kama mleta maada wako na management ya accacia na wanapiga filimbi Ya hamelini kuitetea management. Mleta mada ona aibu nakala mpelekee tundu lisu na chadema. Hii vita tuachieni wazalendo nyie kaeni na mavyeti yenu koko ya sheria
Hiyo tume huru kutoka wapi???? hivi mnaongea tuu!!! tume huru ni hii ya kwetu zaidi ya hapo ukileta vya nje ya nchi yoote ni mazungu usidhani watawaangusha wenzao....ukileta wa nchi za kiafrika hasa ghana , south africa, na kenya hao watu wanaofanya nao kazi migoni wanawajua,,,, wanajifanya wao ni wazungu weusi na watakwenda upande wa mzungu au ni rahisi kununuliwa,,,,,, unafikiri watakubali kuiacha bilioni 300?Uchunguzi wa upande mmoja hauwezi kukubalika katika mahakama za kimataifa na hili ndio kosa kubwa tulilolifanya.
Kingine cha kushangaza ni kwanini serikali haitaki kukubali hoja ya ACASIA ya kuunda Tume Huru kuchunguza jambo hili?
Sasa tutegemee nini? au ndio tutulie mambo yatapita kama kawaida.22. Ku-review mikataba? Lazima tuwe tume -incorporate kwenye mkataba kipengele kinachohusiana na doctrine ya 'clausula rebus sic stantibus'. Hii ni doctrine inayoruhusu ku-review mkataba kama conditions Fulani zikibadirika. Lazima kifungu hiki kiwe kwenye mikataba. Hawa jamaa walihakikisha hakimo kwenye mikataba yetu. Kwa hiyo ukianza process ya ku-review unilaterally watasema umevunja principle ya 'fair and equitable treatment'.
23. Kuiweka wazi mikataba ili watu wote waione? Investors wataegemea kwenye principle of confidentiality of investment agreements.... makampuni yamekataa kwa kusema kuwa wakati wanasaini mikataba hiyo sheria hiyo haikuwepo. Mnavyojua sheria hairudi kinyume. Kumbe watadai bado canal in sea na principle hiyo.
FUPI TAMU,NDEFU INAKERA....
summary kidogo jamani
Jamani tupo bize sasa na teminology za international law of contract kwa maslahi ya taifa hivyo tunatarajia kila anayeshika keybord atakuja na manenono kama REBUS SIC STANTIBUS, EX EAQUO ET BONO n.k , hivyo kama mtu hayajui madude haya atulie ajifunze. Tumesemwa sana mara ooh bongo hatujui sheria za mikataba sasa tulieni turarue rarue kabisa.FUPI TAMU,NDEFU INAKERA....
summary kidogo jamani
Maelezo ya Dr. Kilangi ni namna nyingine yenye ufasaha zaidi ya maelezo ya Mhe. Tundu Lissu. They have the same position. Na kwa maelezo ya Dr. Kilangi kweli hii ni vita, na mshindi wa vita anajulikana wazi kwa mujibu wa maelezo hayo ya Dr. Kilangi.
Kwa mtazamo wangu kabla ya kuanza vita, maelezo ya namna ya Dr. Kilangi yalitakiwa kutumika kwenye kupanga vita hii ili kuona kama kuna faida kubwa hasara kidogo au hasara kubwa faida kidogo. Pia ingesaidia kutoa options nyingi na kuchagua favourable option kama ingekuwepo kati ya hizo options.
Mimi ni mmoja wa watu tutakaopenda tusome 'kitabu' ili kupata mwanga zaidi. Kwani ili chapisho liitwe kitabu linakuwa na features zipi? Tena kitabu ndio kizuri zaidi kwani tutaona na references au bibliographies zaidi ambazo zitatusaidia tuone hoja zao kamili.
huu wako sio uzalendo bali ni uzwazwa.
Ndio maana Nyerere alikataa tusichimbe madini sasa nyie mkaingia kichwa kichwa kwenye haya mamikataba na masheria ya kinyonyaji kuhusu rasilimali zetu na haya sasa ndio matokeo yake.Hiyo tume huru kutoka wapi???? hivi mnaongea tuu!!! tume huru ni hii ya kwetu zaidi ya hapo ukileta vya nje ya nchi yoote ni mazungu usidhani watawaangusha wenzao....ukileta wa nchi za kiafrika hasa ghana , south africa, na kenya hao watu wanaofanya nao kazi migoni wanawajua,,,, wanajifanya wao ni wazungu weusi na watakwenda upande wa mzungu au ni rahisi kununuliwa,,,,,, unafikiri watakubali kuiacha bilioni 300?
Hahaha have a nice dayHiyo tume huru kutoka wapi???? hivi mnaongea tuu!!! tume huru ni hii ya kwetu zaidi ya hapo ukileta vya nje ya nchi yoote ni mazungu usidhani watawaangusha wenzao....ukileta wa nchi za kiafrika hasa ghana , south africa, na kenya hao watu wanaofanya nao kazi migoni wanawajua,,,, wanajifanya wao ni wazungu weusi na watakwenda upande wa mzungu au ni rahisi kununuliwa,,,,,, unafikiri watakubali kuiacha bilioni 300?
Ah Kumbe wewe ni graduate wa Jana tu
Mnatusumbua humu tunadhani mmegraduate miaka 20 hivi nyuma
Mkuu hiki Ni kitu ambacho hata Mimi najiuliza sipati jibu kabisa.Hivi wale wasomi walipata wapi busara ya kufanya uchunguzi wa upande mmoja tu na wakaona wako sahihi?
Ukweli hata mimi kilaza wa sheria mpaka sasa nimeshindwa kuwaelewa na hii inanipa mashaka kuwa huenda kulikuwa na agenda ya siri maana sioni kulikuwa na ugumu gani kuwashirikisha.
Huko awali hatukuwa tomesoma mambo haya na wala hatukushirikishwa vema kama wanasheria nchi ilikuwa bado changa sasa tumebibea tunaichanilia mbali na kuondoa ugandamizi wa kila aina uliomoNdio maana Nyerere alikataa tusichimbe madini sasa nyie mkaingia kichwa kichwa kwenye haya mamikataba na masheria ya kinyonyaji kuhusu rasilimali zetu na haya sasa ndio matokeo yake.