Wasaidie,Unakosea sana kumfananisha Kim na kina Saddam na Gadaffi hao wote walikuwa wananunua silaha kutoka kwa watengenezaji n korea anajitegemea kwa kila kitu na hana cha kupoteza kumbuka alishatengwa na dunia zaidi ya nusu karne halafu hao na wakorea siyo wanafiki kama waarabu
wewe kweli ni siku za ajabu,, sasa unaongelea America mara hapo hapo ushatupeleka Israel, au unamzungumzia yule mtoa roho?huwez shindana na america ukashinda,sahau..israel iko pale watapga kombora moja utakaa chini.
Tukiwa bado tunaendelea na uchambuzi wa kitisho au kinachoendelea eneo la Asia Pacific kwa US kuivamia kijeshi Korea kaskazini tulisha zungumzia kitisho cha kiuchumi ambapo eneo la Pacific kwa mwaka kuna GDP ya$ 17.1566 Tillion na purchasing power ya 16 ambapo ndio number one ktk wanunuzi wakubwa wa bidhaa kutoka Ulaya na America na kuwa eneo muhimu kibiashara na Uchumi dunia
Leo tutakijita kwenye maswala ya kijeshi baada ya kuona kiuchumi katika uwanja wa mapambano kuna vitengo vitatu ambayo ndio engine ya kushinda vita au kushindwa vitu hvyo ni
1 Intelligence ( ujasusi wa kupata taarifa za kijeshi na Usalama wa adui wako
2Comminication (Mawasilino ndani ya uwanja wa mapambano)
3 Supplying ( Usambazaji wa vifaa,silaha au huduma ndani ya uwanja wa mapambano)
Hivyo ndivyo vitengo vitatu muhimu ndani ya uwanja wa mapambano lakini leo tutakijita kwenye kitengo cha mawasilino duniani kuna aina 5 za mawasilino
1. Optical Communication System
ambayo inabeba mitandao ya kijamii kama JF ,whats app,Facebook,snapchat
2. Radio Communication System
ambayo inabeba mawasiliano ya radio (simu za upepo) na simu za Satellite Phones
3. Duplex communications system
ambayo inabeba mawasiliano ya Telephone,
Mobile, Telegraph ,Fax mfumo huu unakuwa na kitu kinachoitwa Defense Communications System (DCS)
4. Half Duplex Communication System
mfumo huu unadeal na data , na video communication mara nying unatumiwa na watumiaji wa simu za mikononi
5. Tactical Communication System
mfumo huu mara nying unatumiwa na vyombo vya ulinzi na usalama kwani unakitu kinachoitwa Voice Communication Control System (VCCS) ambayo unafanya mawasiliano yanakuwa guided
Sasa leo tujikite kwenye Tactical communication systems ambayo vyombo vya Ulinzi na kijeshi wanatumia kutokana na technology ilivyokuwa inaongezeka vifaa vingi sana vya kijeshi vinatumia software au OS (Operating system)
na Duniani kuna OS 3 ambazo ndizo zinarun mfumo mzima wa mawasilino ya computer japo si 100% mifumo hyo ni
1Microsoft windows 83.3%
2MacOS 11.2%
3Linux 1.55%
So ukimpiga jumla unakuta ni 96.05% ndio maana ni kasema si 100%
Uwanja wa mapambano unategemea sana mawasiliano ktk Ops za kushambulia target na vifaa vingi sana vya kijeshi vinatumia software yani kitengo cha mawasilino kipo busy kuliko vitengo vingine vyote threat pekee ni hackers kwa taarifa zilizopo jeshi la korea kaskazini wana kikosi cha kijeshi ambacho ni cyber special force ambacho kazi yao ni kuhack system mbalimbali za kijeshi na mawasiliano ya kijeshi na Usalama pia duniani korea kaskazini ndio nchi pekee yenye Operating system yake yenyewe kule hakuna Microsoft Windows ,MacOS au Linux so kwenye upende wa wao kuwa hacked ni ngumu sana
USA kuna tatizo sana kwenye upande wa NSA ambao kazi yao ni kuhakikisha na kudeal na Cyber threat kwani kumekuwa na matukio ya mashambulizi ya system zaa au mifumo yao na mahackers kutoka Russia , China na Korea kaskazini mifano ni
1 Mwaka 2015 Russian hackers walivamia State Department email system kwa kile kilichojulikana kama “worst ever” cyberattack against a federal agency.
2 Mwaka 2015 Ofisi ya menejimenti ya utumishi wa umma walireport kwa NSA kupotea kwa Americans’ fingerprints milion 5.6 za watumishi wa umma katika kile kilichojulikana kama ilikuwa ni cyberattack.
3 Government Accountability Office (GAO) wamereport kwa NSA kuwa kuanzia mwaka 2015 namba ya mashambulizi ya kimtandao yalipanda kwa 64% kutoka mashambulizi kutoka 5,500 mpaka zaidi ya 77,000 kwa mwaka ni 24 federal agences zilivamiwa
4 Machi mwaka jana hackers wa kutoka China waliendelea kufanya mashambulizi ya kimtandao dhidi ya serikali ya Marekani na mitandao binafsi, kwa mujibu wa U.S.mkuu wa Cyber Command Mike Rogers. China imekuwa ina husishwa na mashirika ya upelelezi ya U.S. kwa kufanya mashambulizi kwa lengo la kuiba taarifa na kuchora ramani katika mitandao muhimu ya kompyuta kwa ajili ya mashambulizi ya baadaye katika mgogoro au vita.
Yapo mengi ya kujadili lakini naomba niishie hapo lakini hii ni moja ya changamoto ktk vita hii ambayo Trump anataka kuanzisha je US wamejiandaa kupigana na jeshi hili la ofisini na silaha zao ni computer tu lakini silaha hizo zenye uwezo wa kulipua mabomu na mifumo yenu palepale US yani silaha zenu zikatumika kuwapiga nyinyi.
The measure of intelligence is the ability to change. like Makongoro Nyerere Shikamoooo izzo team US ze kokuyo tumejiandaa kwa hili?Tukiwa bado tunaendelea na uchambuzi wa kitisho au kinachoendelea eneo la Asia Pacific kwa US kuivamia kijeshi Korea kaskazini tulisha zungumzia kitisho cha kiuchumi ambapo eneo la Pacific kwa mwaka kuna GDP ya$ 17.1566 Tillion na purchasing power ya 16 ambapo ndio number one ktk wanunuzi wakubwa wa bidhaa kutoka Ulaya na America na kuwa eneo muhimu kibiashara na Uchumi dunia
Leo tutakijita kwenye maswala ya kijeshi baada ya kuona kiuchumi katika uwanja wa mapambano kuna vitengo vitatu ambayo ndio engine ya kushinda vita au kushindwa vitu hvyo ni
1 Intelligence ( ujasusi wa kupata taarifa za kijeshi na Usalama wa adui wako
2Comminication (Mawasilino ndani ya uwanja wa mapambano)
3 Supplying ( Usambazaji wa vifaa,silaha au huduma ndani ya uwanja wa mapambano)
Hivyo ndivyo vitengo vitatu muhimu ndani ya uwanja wa mapambano lakini leo tutakijita kwenye kitengo cha mawasilino duniani kuna aina 5 za mawasilino
1. Optical Communication System
ambayo inabeba mitandao ya kijamii kama JF ,whats app,Facebook,snapchat
2. Radio Communication System
ambayo inabeba mawasiliano ya radio (simu za upepo) na simu za Satellite Phones
3. Duplex communications system
ambayo inabeba mawasiliano ya Telephone,
Mobile, Telegraph ,Fax mfumo huu unakuwa na kitu kinachoitwa Defense Communications System (DCS)
4. Half Duplex Communication System
mfumo huu unadeal na data , na video communication mara nying unatumiwa na watumiaji wa simu za mikononi
5. Tactical Communication System
mfumo huu mara nying unatumiwa na vyombo vya ulinzi na usalama kwani unakitu kinachoitwa Voice Communication Control System (VCCS) ambayo unafanya mawasiliano yanakuwa guided
Sasa leo tujikite kwenye Tactical communication systems ambayo vyombo vya Ulinzi na kijeshi wanatumia kutokana na technology ilivyokuwa inaongezeka vifaa vingi sana vya kijeshi vinatumia software au OS (Operating system)
na Duniani kuna OS 3 ambazo ndizo zinarun mfumo mzima wa mawasilino ya computer japo si 100% mifumo hyo ni
1Microsoft windows 83.3%
2MacOS 11.2%
3Linux 1.55%
So ukimpiga jumla unakuta ni 96.05% ndio maana ni kasema si 100%
Uwanja wa mapambano unategemea sana mawasiliano ktk Ops za kushambulia target na vifaa vingi sana vya kijeshi vinatumia software yani kitengo cha mawasilino kipo busy kuliko vitengo vingine vyote threat pekee ni hackers kwa taarifa zilizopo jeshi la korea kaskazini wana kikosi cha kijeshi ambacho ni cyber special force ambacho kazi yao ni kuhack system mbalimbali za kijeshi na mawasiliano ya kijeshi na Usalama pia duniani korea kaskazini ndio nchi pekee yenye Operating system yake yenyewe kule hakuna Microsoft Windows ,MacOS au Linux so kwenye upende wa wao kuwa hacked ni ngumu sana
USA kuna tatizo sana kwenye upande wa NSA ambao kazi yao ni kuhakikisha na kudeal na Cyber threat kwani kumekuwa na matukio ya mashambulizi ya system zaa au mifumo yao na mahackers kutoka Russia , China na Korea kaskazini mifano ni
1 Mwaka 2015 Russian hackers walivamia State Department email system kwa kile kilichojulikana kama “worst ever” cyberattack against a federal agency.
2 Mwaka 2015 Ofisi ya menejimenti ya utumishi wa umma walireport kwa NSA kupotea kwa Americans’ fingerprints milion 5.6 za watumishi wa umma katika kile kilichojulikana kama ilikuwa ni cyberattack.
3 Government Accountability Office (GAO) wamereport kwa NSA kuwa kuanzia mwaka 2015 namba ya mashambulizi ya kimtandao yalipanda kwa 64% kutoka mashambulizi kutoka 5,500 mpaka zaidi ya 77,000 kwa mwaka ni 24 federal agences zilivamiwa
4 Machi mwaka jana hackers wa kutoka China waliendelea kufanya mashambulizi ya kimtandao dhidi ya serikali ya Marekani na mitandao binafsi, kwa mujibu wa U.S.mkuu wa Cyber Command Mike Rogers. China imekuwa ina husishwa na mashirika ya upelelezi ya U.S. kwa kufanya mashambulizi kwa lengo la kuiba taarifa na kuchora ramani katika mitandao muhimu ya kompyuta kwa ajili ya mashambulizi ya baadaye katika mgogoro au vita.
Yapo mengi ya kujadili lakini naomba niishie hapo lakini hii ni moja ya changamoto ktk vita hii ambayo Trump anataka kuanzisha je US wamejiandaa kupigana na jeshi hili la ofisini na silaha zao ni computer tu lakini silaha hizo zenye uwezo wa kulipua mabomu na mifumo yenu palepale US yani silaha zenu zikatumika kuwapiga nyinyi.
Wewe nawe ndio umekosa cha kuongea huyo muisrael mwenyewe anategemea ulinzi wa Marekani .huwez shindana na america ukashinda,sahau..israel iko pale watapga kombora moja utakaa chini.
Naskia OS na mfumo endeshi wa Northern Korea dunia nzima inaushangaa ni wakipekee na haujulikaniTukiwa bado tunaendelea na uchambuzi wa kitisho au kinachoendelea eneo la Asia Pacific kwa US kuivamia kijeshi Korea kaskazini tulisha zungumzia kitisho cha kiuchumi ambapo eneo la Pacific kwa mwaka kuna GDP ya$ 17.1566 Tillion na purchasing power ya 16 ambapo ndio number one ktk wanunuzi wakubwa wa bidhaa kutoka Ulaya na America na kuwa eneo muhimu kibiashara na Uchumi dunia
Leo tutakijita kwenye maswala ya kijeshi baada ya kuona kiuchumi katika uwanja wa mapambano kuna vitengo vitatu ambayo ndio engine ya kushinda vita au kushindwa vitu hvyo ni
1 Intelligence ( ujasusi wa kupata taarifa za kijeshi na Usalama wa adui wako
2Comminication (Mawasilino ndani ya uwanja wa mapambano)
3 Supplying ( Usambazaji wa vifaa,silaha au huduma ndani ya uwanja wa mapambano)
Hivyo ndivyo vitengo vitatu muhimu ndani ya uwanja wa mapambano lakini leo tutakijita kwenye kitengo cha mawasilino duniani kuna aina 5 za mawasilino
1. Optical Communication System
ambayo inabeba mitandao ya kijamii kama JF ,whats app,Facebook,snapchat
2. Radio Communication System
ambayo inabeba mawasiliano ya radio (simu za upepo) na simu za Satellite Phones
3. Duplex communications system
ambayo inabeba mawasiliano ya Telephone,
Mobile, Telegraph ,Fax mfumo huu unakuwa na kitu kinachoitwa Defense Communications System (DCS)
4. Half Duplex Communication System
mfumo huu unadeal na data , na video communication mara nying unatumiwa na watumiaji wa simu za mikononi
5. Tactical Communication System
mfumo huu mara nying unatumiwa na vyombo vya ulinzi na usalama kwani unakitu kinachoitwa Voice Communication Control System (VCCS) ambayo unafanya mawasiliano yanakuwa guided
Sasa leo tujikite kwenye Tactical communication systems ambayo vyombo vya Ulinzi na kijeshi wanatumia kutokana na technology ilivyokuwa inaongezeka vifaa vingi sana vya kijeshi vinatumia software au OS (Operating system)
na Duniani kuna OS 3 ambazo ndizo zinarun mfumo mzima wa mawasilino ya computer japo si 100% mifumo hyo ni
1Microsoft windows 83.3%
2MacOS 11.2%
3Linux 1.55%
So ukimpiga jumla unakuta ni 96.05% ndio maana ni kasema si 100%
Uwanja wa mapambano unategemea sana mawasiliano ktk Ops za kushambulia target na vifaa vingi sana vya kijeshi vinatumia software yani kitengo cha mawasilino kipo busy kuliko vitengo vingine vyote threat pekee ni hackers kwa taarifa zilizopo jeshi la korea kaskazini wana kikosi cha kijeshi ambacho ni cyber special force ambacho kazi yao ni kuhack system mbalimbali za kijeshi na mawasiliano ya kijeshi na Usalama pia duniani korea kaskazini ndio nchi pekee yenye Operating system yake yenyewe kule hakuna Microsoft Windows ,MacOS au Linux so kwenye upende wa wao kuwa hacked ni ngumu sana
USA kuna tatizo sana kwenye upande wa NSA ambao kazi yao ni kuhakikisha na kudeal na Cyber threat kwani kumekuwa na matukio ya mashambulizi ya system zaa au mifumo yao na mahackers kutoka Russia , China na Korea kaskazini mifano ni
1 Mwaka 2015 Russian hackers walivamia State Department email system kwa kile kilichojulikana kama “worst ever” cyberattack against a federal agency.
2 Mwaka 2015 Ofisi ya menejimenti ya utumishi wa umma walireport kwa NSA kupotea kwa Americans’ fingerprints milion 5.6 za watumishi wa umma katika kile kilichojulikana kama ilikuwa ni cyberattack.
3 Government Accountability Office (GAO) wamereport kwa NSA kuwa kuanzia mwaka 2015 namba ya mashambulizi ya kimtandao yalipanda kwa 64% kutoka mashambulizi kutoka 5,500 mpaka zaidi ya 77,000 kwa mwaka ni 24 federal agences zilivamiwa
4 Machi mwaka jana hackers wa kutoka China waliendelea kufanya mashambulizi ya kimtandao dhidi ya serikali ya Marekani na mitandao binafsi, kwa mujibu wa U.S.mkuu wa Cyber Command Mike Rogers. China imekuwa ina husishwa na mashirika ya upelelezi ya U.S. kwa kufanya mashambulizi kwa lengo la kuiba taarifa na kuchora ramani katika mitandao muhimu ya kompyuta kwa ajili ya mashambulizi ya baadaye katika mgogoro au vita.
Yapo mengi ya kujadili lakini naomba niishie hapo lakini hii ni moja ya changamoto ktk vita hii ambayo Trump anataka kuanzisha je US wamejiandaa kupigana na jeshi hili la ofisini na silaha zao ni computer tu lakini silaha hizo zenye uwezo wa kulipua mabomu na mifumo yenu palepale US yani silaha zenu zikatumika kuwapiga nyinyi.
Asnte mkuu, endelea kutupa dondoo tuzipendazo mtaalamu.Tukiwa bado tunaendelea na uchambuzi wa kitisho au kinachoendelea eneo la Asia Pacific kwa US kuivamia kijeshi Korea kaskazini tulisha zungumzia kitisho cha kiuchumi ambapo eneo la Pacific kwa mwaka kuna GDP ya$ 17.1566 Tillion na purchasing power ya 16 ambapo ndio number one ktk wanunuzi wakubwa wa bidhaa kutoka Ulaya na America na kuwa eneo muhimu kibiashara na Uchumi dunia
Leo tutakijita kwenye maswala ya kijeshi baada ya kuona kiuchumi katika uwanja wa mapambano kuna vitengo vitatu ambayo ndio engine ya kushinda vita au kushindwa vitu hvyo ni
1 Intelligence ( ujasusi wa kupata taarifa za kijeshi na Usalama wa adui wako
2Comminication (Mawasilino ndani ya uwanja wa mapambano)
3 Supplying ( Usambazaji wa vifaa,silaha au huduma ndani ya uwanja wa mapambano)
Hivyo ndivyo vitengo vitatu muhimu ndani ya uwanja wa mapambano lakini leo tutakijita kwenye kitengo cha mawasilino duniani kuna aina 5 za mawasilino
1. Optical Communication System
ambayo inabeba mitandao ya kijamii kama JF ,whats app,Facebook,snapchat
2. Radio Communication System
ambayo inabeba mawasiliano ya radio (simu za upepo) na simu za Satellite Phones
3. Duplex communications system
ambayo inabeba mawasiliano ya Telephone,
Mobile, Telegraph ,Fax mfumo huu unakuwa na kitu kinachoitwa Defense Communications System (DCS)
4. Half Duplex Communication System
mfumo huu unadeal na data , na video communication mara nying unatumiwa na watumiaji wa simu za mikononi
5. Tactical Communication System
mfumo huu mara nying unatumiwa na vyombo vya ulinzi na usalama kwani unakitu kinachoitwa Voice Communication Control System (VCCS) ambayo unafanya mawasiliano yanakuwa guided
Sasa leo tujikite kwenye Tactical communication systems ambayo vyombo vya Ulinzi na kijeshi wanatumia kutokana na technology ilivyokuwa inaongezeka vifaa vingi sana vya kijeshi vinatumia software au OS (Operating system)
na Duniani kuna OS 3 ambazo ndizo zinarun mfumo mzima wa mawasilino ya computer japo si 100% mifumo hyo ni
1Microsoft windows 83.3%
2MacOS 11.2%
3Linux 1.55%
So ukimpiga jumla unakuta ni 96.05% ndio maana ni kasema si 100%
Uwanja wa mapambano unategemea sana mawasiliano ktk Ops za kushambulia target na vifaa vingi sana vya kijeshi vinatumia software yani kitengo cha mawasilino kipo busy kuliko vitengo vingine vyote threat pekee ni hackers kwa taarifa zilizopo jeshi la korea kaskazini wana kikosi cha kijeshi ambacho ni cyber special force ambacho kazi yao ni kuhack system mbalimbali za kijeshi na mawasiliano ya kijeshi na Usalama pia duniani korea kaskazini ndio nchi pekee yenye Operating system yake yenyewe kule hakuna Microsoft Windows ,MacOS au Linux so kwenye upende wa wao kuwa hacked ni ngumu sana
USA kuna tatizo sana kwenye upande wa NSA ambao kazi yao ni kuhakikisha na kudeal na Cyber threat kwani kumekuwa na matukio ya mashambulizi ya system zaa au mifumo yao na mahackers kutoka Russia , China na Korea kaskazini mifano ni
1 Mwaka 2015 Russian hackers walivamia State Department email system kwa kile kilichojulikana kama “worst ever” cyberattack against a federal agency.
2 Mwaka 2015 Ofisi ya menejimenti ya utumishi wa umma walireport kwa NSA kupotea kwa Americans’ fingerprints milion 5.6 za watumishi wa umma katika kile kilichojulikana kama ilikuwa ni cyberattack.
3 Government Accountability Office (GAO) wamereport kwa NSA kuwa kuanzia mwaka 2015 namba ya mashambulizi ya kimtandao yalipanda kwa 64% kutoka mashambulizi kutoka 5,500 mpaka zaidi ya 77,000 kwa mwaka ni 24 federal agences zilivamiwa
4 Machi mwaka jana hackers wa kutoka China waliendelea kufanya mashambulizi ya kimtandao dhidi ya serikali ya Marekani na mitandao binafsi, kwa mujibu wa U.S.mkuu wa Cyber Command Mike Rogers. China imekuwa ina husishwa na mashirika ya upelelezi ya U.S. kwa kufanya mashambulizi kwa lengo la kuiba taarifa na kuchora ramani katika mitandao muhimu ya kompyuta kwa ajili ya mashambulizi ya baadaye katika mgogoro au vita.
Yapo mengi ya kujadili lakini naomba niishie hapo lakini hii ni moja ya changamoto ktk vita hii ambayo Trump anataka kuanzisha je US wamejiandaa kupigana na jeshi hili la ofisini na silaha zao ni computer tu lakini silaha hizo zenye uwezo wa kulipua mabomu na mifumo yenu palepale US yani silaha zenu zikatumika kuwapiga nyinyi.
Mpaka mwaka 2015 Operating system ilivyokuwa inatumia China ni Microsoft Windows japo Serikali ya China walianza kutaka kutengeneza OS yao inaitwa NeoKylin japo bado haijaanza kutumikaNaskia OS na mfumo endeshi wa Northern Korea dunia nzima inaushangaa ni wakipekee na haujulikani
pointTukiwa bado tunaendelea na uchambuzi wa kitisho au kinachoendelea eneo la Asia Pacific kwa US kuivamia kijeshi Korea kaskazini tulisha zungumzia kitisho cha kiuchumi ambapo eneo la Pacific kwa mwaka kuna GDP ya$ 17.1566 Tillion na purchasing power ya 16 ambapo ndio number one ktk wanunuzi wakubwa wa bidhaa kutoka Ulaya na America na kuwa eneo muhimu kibiashara na Uchumi dunia