mindpower
JF-Expert Member
- Oct 1, 2016
- 1,049
- 1,211
Wasaidie,Unakosea sana kumfananisha Kim na kina Saddam na Gadaffi hao wote walikuwa wananunua silaha kutoka kwa watengenezaji n korea anajitegemea kwa kila kitu na hana cha kupoteza kumbuka alishatengwa na dunia zaidi ya nusu karne halafu hao na wakorea siyo wanafiki kama waarabu
Wanafananisha wanunuzi Wa technologia na mwenye technolojia yake binafs!