Mwanamke mrembo kuzaa na mwanaume masikini ni mapenzi ya kweli, bahati, hajui kukataa, ushirikina au ni kitu gani ?

Mabinti warembo / Visu / Pisi Kali huwa wana demand kubwa, atafatwa na wanaume wa aina nyingi, yeye ni kuchagua tu

Inapotokea mwanamke mrembo kampenda hadi kumzalia mwanaume masikini huwa ni kipi .

  • Mapenzi ya kweli
  • Ni cha wote
  • Ushirikina / Ndumba
  • Bahati
  • ama kuna cha ziada
Dunia na wingi wa raia wake, kuna maamuzi mchanganyiko sana
 
Mabinti warembo / Visu / Pisi Kali huwa wana demand kubwa, atafatwa na wanaume wa aina nyingi, yeye ni kuchagua tu

Inapotokea mwanamke mrembo kampenda hadi kumzalia mwanaume masikini huwa ni kipi .

  • Mapenzi ya kweli
  • Ni cha wote
  • Ushirikina / Ndumba
  • Bahati
  • ama kuna cha ziada
Kwan maskn nao hawana haki ya kupendwa
 
Mara nyingi nimesema Tena sisi wanaume ndo tumewafanya wanawake tuwaone ni wa gharama na kuwaogopa,

Nimedate mabinti wazurii tuu, na sijawahi tumia nguvu, na sijui kwann wananipenda Hali Kuna watu wananiona wa kawaida sana.

Kwamba wanawake wazurii labda wa rangi, muonekano au kivyovyote hawahitaji kuzaa au kuolewa na mwanaume ambaye hana kitu ?

Kwanin hao Hao wanataka wenye mikwanja lakini wanacheat na hao wanaume ambao hawana kitu ?

Kuna tofauti ya mwanamke mzurii na mwanamke wa gharama, ukiweza elewa hayo maneno utaishi

Kuna wanawake ni wa kawaida sana sana nitumie tafsida lakini they're expensive by outlooking na Hana Tako, sura, shepu wala rangi ...

Unafikiri hawadate both men having and haven't?

Kama yule bibiye kacheat mwenye hela kwa a mwanaume ambaye anamchukulia hawezi zaa nae au kuwa naye jua Kuna nguvu ya neno MAPENZI,

Mapenzi yaki bond baina yenu uwe Tajiri au masikini unampata tuu.

Kingine wazazi mara nyingi ndo wanawakatalia watoto wao kuolewa na makapuku kama hujui,

Issue ya kwanza ni MAPENZI
 
Back
Top Bottom