Nyoka_mzee
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 3,695
- 5,525
- Thread starter
- #21
mkui ww umenielewa vzuri kabisa shukranAnajua ni vigumu kupata Pesa tena na anajua hata wewe unapoteza matumaini, na hata kama utapata tena itachukua muda mrefu sana.
Pia anakua amepata Picha kwamba wewe huwezi kuhimili kulinda nafasi yako katika ligi.
Lingine ukifilisika inakua fedheha sana kuliko unapokua huna kitu ile kawaida Tu, mwanamke anakukimbia kukwepa aibu