Unajua kupambana na mtu mwenye silaha na kuweza kumnyanganya si jambo dogo. Zawadi aliyopewa hailingani na thamani ya silaha aliyoipokonya na uhalifu ambao ingelifanya ni bora aongezewe ili kuwapa moyo watu wengine.
CC. IGP Magu motisha huo hautoshi! Makao Makuu iongezee ifike at least 2.000.000/= Tupime na hali halisi ebu fikiria leo hii majambazi wangemtoa roho familia yake inabaki na nani?