Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 311,051
- 763,241
Mwanake Anategema past yake ili aolewe Ila mwanaume hategemei past wala present ili kuoa.Mwijaku anachofanya ni kuua destiny za hawa watoto wa kike.
Mfano hawa mabinti wote unafikiri nani atakaa aoe wanawake wa sampuli Kama hizi.
Ukiachana na Mwijaku kuendeshwa na ngono Ila bado hajui kuwa privacy is power .
Mwanake Anategema past yake ili aolewe Ila mwanaume hategemei past wala present ili kuoa.
Yawezekana anahisi yupo salama kuwa katika chama kile in short anachofanya ni ujinga.
Mmmwaaaa🥰🥰🥰🥰Past ina mwijaku halooo
Njoo tule namalizia kachumbari baby wangu kila kitu kipo tayari