Mwanamke akifumania, kwanini asimpige mwanaume?

Amani ya Bwana iwe nanyi nyote.

Tafadhali nisaidieni hili, Mara nyingi sana au zote mwanamke akimfumania mume au mpenzi wake na mwanamke mwingine huwa hapatoshi. Watapigana,watakashifiana na hata kuuana wanaweza.

Kinachonisumbua ni kimoja tu,kwa nini asimpige yule mwanamume.? Unampiga mdada wa watu wakati hata hakujua kama huyo ni mumeo.Au mnawaogopa wanaume?
Kwanini mwanaume akimfumania mkewe au mpenzi huwa hapatoshi kwa huyo mwanaume kama Rukwa mgoni kauwawa kwa panga na kamuacha mkewe? Embu nisaidiye jibu hapo
 
Amani ya Bwana iwe nanyi nyote.

Tafadhali nisaidieni hili, Mara nyingi sana au zote mwanamke akimfumania mume au mpenzi wake na mwanamke mwingine huwa hapatoshi. Watapigana,watakashifiana na hata kuuana wanaweza.

Kinachonisumbua ni kimoja tu,kwa nini asimpige yule mwanamume.? Unampiga mdada wa watu wakati hata hakujua kama huyo ni mumeo.Au mnawaogopa wanaume?
Hivi umefikiria kweli au Umeamua kuandika thread ili mradi umeandika? Kwani wanaume wanapowafumania wake zao huwa wanawafumua marinda wake zao au wale wanaume wenzao?
 
Labda wake zenu.,mke wangu mie naomba asije nifumania.,, Kwa akili zake nnavyozijua atamuacha mchepuko aje kwangu. na tukianzaga kufurumushana huo ugomvi wake hata wanaume hawauwezagi kuamua.,, Then baada ya tukio hunivuta chumbani kunipa game bila kumwomba., cjui yukoje huyu...??
 
Amani ya Bwana iwe nanyi nyote.

Tafadhali nisaidieni hili, Mara nyingi sana au zote mwanamke akimfumania mume au mpenzi wake na mwanamke mwingine huwa hapatoshi. Watapigana,watakashifiana na hata kuuana wanaweza.

Kinachonisumbua ni kimoja tu,kwa nini asimpige yule mwanamume.? Unampiga mdada wa watu wakati hata hakujua kama huyo ni mumeo.Au mnawaogopa wanaume?
Mbona wanpigwa sana.
 
Back
Top Bottom