Heheheeeee......Unamuogopa nani,?Ngabu?
Hapana.Unamuogopa nani,?Ngabu?
Wakinivulia sijui itakuwaje!Sasa unatetemeka wakikuvulia si utzimia wewe acha zako basii
Ahsante sana.Basi utazoea njop tukufundishee
Upo wapi mimi nimevaa T-shirt nyeusi na pelo nyekundu hapa counter.Basi utazoea njop tukufundishee
Ngoja nijiandae.Njoo tutakupa mtu atakufundishaaa
kijito nyama ..K nyama ndio wapi
Ona sasa...tayari ushalewa wewe. Yaani hupajui Kijitonyama?K nyama ndio wapi
Yeah nilimwona pale kaunta anashangaa shangaa tuHiv umemuona toz1 ?
Akaja mpaka tulipokaa hakutujua hahaha ,a
Sie tunaendeleza bata