Mwanajeshi Rashid Mohamed akamatwa na mirungi kilo 20 huko Tanga

hii shida sasa sisi vijana wa Mapipa Magomeni tutaumia..maana tulishazoea kula mgomba mida ya jioni ili kuvuta stimu
 
Tuwe na busara maeneo fulani fulani. Hivi Mirungi kweli ni madawa ya kulevya? Mbona mirungi sawa tu na makany ya chai. Kama Kenya ni halali kutuimika, iweje Tanzania ambapo hata kijiografia maeneo inakostawisha mmea huu hufanana na kupakana. Kenya huisafirisha na kujiongezea kipato cha mkulima na pato la serikali
 
Hapo ukute aliambiwa kua atakamatwa,akasema "mimi ni mwanajeshi",sasa ngoja afikishwe mahakamani,wanatakiwa wajue kua kua mwanajeshi hakukupi kinga ya kufanya vitu ambavyo ni kinyume cha sheria.Na nina uhakika hapo hawezi kujitetea kua alikimbiza watu wakaitelekeza kwasababu yeye sio polisi.Aende akaungane na yule mwenzake aliyemwua kondakta wa daladala.
 
Back
Top Bottom