Mwana Ilala
JF-Expert Member
- Jan 29, 2013
- 1,287
- 486
Tupeane taarifa juu ya Maendeleo ya Mwandishi wa Habari wa DW-German, aliyeripotiwa kutokuonekana Mara baada ya kutua Uwanja wa Ndege JNIA akitokea ZIA.
uwe mpole nchi hii inajulikana kila eneo nje na ndani kuwa wanyonge wanakandamizwa na kunyang'anywawa walicho nacho.Ahhhh jamani nani kaleta huu uzi bila kuwa nyama za kutosha unakimbilia ku-post wa kwanza? Leteni habari yenye nyama,yaliyomkuta huko na kwanini alitekwa, na walitaka nini kwake, na kwanini wamemuachia nyakati hizi na nani the most suspect kwa kutekwa kwake na walitaka nini???????? Mbona uzi unaacha maswali mengi.
Uchaguzi haramu pesa ni kodi zetu sisi walala HoiHurulaini kasuku alitaka warudie Uchaguzi bila kutumia hela.