Avatar yako tu inaonyesha mfano wa kuwa upo bombaaaaa.
Bora umeyamaliza vizuri hao watoto wadogo ungeenda mbali wangekugeuzia kivao kwa kitu cha kipuuzi, ukakimbia kazi au kumsabahi Kamanda wa mkoa ulipo.
Una chura?
Mimi avatar yangu inaonyesha nikoje?
Kunifananisha mimi na Bashite ndo nini mkuu?!Mdaku
Ndo maana wanatumika sana kwenye ushahidi, bila shaka huyu jamaa atakuwa na msambwanda wa kutosha.Mara nyingi watoto huwa wanasema ukweli.
Asante kwa ushauriWatu wazima wakisema jambo kuna uwezekano ikawa chuki, unafiki, kukudharaulisha, figisu figisu, wivu, bifu n.k... Lakini mtoto mdogo akisema kitu he/she is very honest, huwa hawana unafiki hata kama anakuchukia.
Mkuu jichunguze, ongea yako, uvaaji wako, movement ya mwili, behavarial patterns, body language n.k. Kama basi walirefer kutokana na sura yako, basi usiwe na shaka, wachukulie kama watoto tu.
OkyPacha wangu