Mwanafunzi wa chuo cha St Joseph akamatwa na bastola, risasi 13

Kule kibiyi nazani vyombo vyetu vya ulinzi na.usalama.kuna mengi nyuma ya pazia yanafichwa.
Ila time will tell due to the fact that the end will come to justify what is going on now at Kibit -Rufiji-Mkuranga. Hivyo tuwe na subira tu mkuu.
 
Na huyo baba yake aungane na mwanaye, anawekaje silaha eneo ambalo inafikiwa na mtu asiye mmiliki
 
Kazingua tu, hayo ni malezi mabaya tu.... Itakua mzazi kampa maksudi mwanae ajilinde.. Wamepindisha tu hao...
 
Hivi hicho chuo cha St Joseph bado kina-exist? Si kilifutwa na wanafunzi wakapelekwa vyuo vikuu vya umma au nimesahau?
 
Back
Top Bottom