Mwanafunzi UDOM atengeneza mtandao wa kijamii wa 2daySky

Server na security hapo xawa maana anatumia server za watu pia amepewa storage ndogo je itaweza ku support ma file mengi mi naona bora mtengeneze vitu vyenye msaada
 
Tatizo akishapata wateja wa kutosha anauuza kwa hao facebook kama walivyofanywa whattapp na instagram...!! Akubali mashari kuwa hatauuza...!
 
Nikuulize Mkuu leo Zuckerberg akupe Trillion 22 ili anunue website yako, utakataa kweli?
 
Blog hiyo haina kipya, mbona kuna vijana wengi tu wanatengeneza blogs/wdbsites na kuuza, hata Jf wapo.

Unaongea computer hujui kutumia unadhani programming ni rahisi. Watu wana idea vichwani kazi kuzibadilisha. Programming ni ngumu sio kitu rahisi ninasema ukweli it's a greatest achievement Kwa kuwa mm ni programmer nakuja hii field.
 
Server na security hapo xawa maana anatumia server za watu pia amepewa storage ndogo je itaweza ku support ma file mengi mi naona bora mtengeneze vitu vyenye msaada
Wabongo hawataki vitu vigumu, niliwachallenji programmer wetu watutengenezee anti virus, waliruka kimanga! Tatizo tunajikita kwenye applied research badala ya basic research.
 
Nikuulize Mkuu leo Zuckerberg akupe Trillion 22 ili anunue website yako, utakataa kweli?
Kama malengo yangu nikupata trillion 5000 baada ya miaka kumi na kuwa na Umiliki wa kampuni kubwa tatu za software zaidi ya Google, Kaspersky na Alibaba sichukui hiyo ela ya kununulia ndimu sokoni!!!
 
Inategemea na potential ya project yako, snapchat walikuwa na kiburi ndo mana walimgomea fb kununuliwa sasa hv wapo sehemu nzuri.
 
Acha Dhana Ya Kijinga Ndugu Yangu, Wewe Unakosoa Neno Mbona Hukosoi Mtandao Husika?!.

Unajishushia Heshima Yako Bure We Sema Unapata Jiroho Kuona Mwenzako Kafanya Chema, Unasifia Ya Wazungu Na Kuiponda Mitandao Ya Wazalendo.
Acha Jiroho Ndugu.
 
Wabongo hawataki vitu vigumu, niliwachallenji programmer wetu watutengenezee anti virus, waliruka kimanga! Tatizo tunajikita kwenye applied research badala ya basic research.

We mbongo una~assume vitu tu ambavyo hata hujui, unachukulia poa sana kutengeneza kitu kama antivirus?
Ati wabongo hawataki vitu vigumu, huna aibu? Nani yuko tayari kupoteza miaka kudeal na kitu ambacho kina probability kubwa ya kutokuja kua successful? Utamlisha wewe? Toa pesa ya kufund the entire development process uone kama hakuna watu wa kukutengenezea antivirus, computer security sio jambo la kitoto, hata top security companies pamoja na ku~make billions na wafanyakazi zaidi ya elfu bado wana holes za ku~exploit. Ni challenge inayochukua miaka mingi kutengeneza angalau a decent antivirus, we Tanzania unadhani kuna security experts wangapi watakao weza kusema wakae ku~collaborate kutengeneza antivirus? wafe na njaa?

Usikae ukasema niliwachallenge programmers wakati huna hata idea ya programming. Nyie ndio walewale mnaokaa kujiita idea guys thinking mnachofikiria is everything, kama programmers hua tunawachukulia poa tu coz hakuna kitu mnajua zaidi ya kubrag
 
Kuna watu ukiwafuata hutafanikiwa.
Hata kama asingebadili ila kitendo cha kucopy na kupaste ni hatua kubwa kiujumla nampa BigUp Dogo.
 
We mbongo una~assume vitu tu ambavyo hata hujui, unachukulia poa sana kutengeneza kitu kama antivirus?
Ati wabongo hawataki vitu vigumu, huna aibu? Nani yuko tayari kupoteza miaka kudeal na kitu ambacho kina probability kubwa ya kutokuja kua successful? Utamlisha wewe? Toa pesa ya kufund the entire development process uone kama hakuna watu wa kukutengenezea antivirus, computer security sio jambo la kitoto, hata top security companies pamoja na ku~make billions na wafanyakazi zaidi ya elfu bado wana holes za ku~exploit. Ni challenge inayochukua miaka mingi kutengeneza angalau a decent antivirus, we Tanzania unadhani kuna security experts wangapi watakao weza kusema wakae ku~collaborate kutengeneza antivirus? wafe na njaa?

Usikae ukasema niliwachallenge programmers wakati huna hata idea ya programming. Nyie ndio walewale mnaokaa kujiita idea guys thinking mnachofikiria is everything, kama programmers hua tunawachukulia poa tu coz hakuna kitu mnajua zaidi ya kubrag

Null Pointer,,, You said it very well!!
Maana sisi Tz, tunapenda porojo sana badala ya kuangalia taaluma za watu na ugumu wake na kuwaheshimu na kuwasaidia mawazo. Kila taaluma ina ugumu wake, sasa mtu mwingine kwa sababu anajua kutumia mashine [PC, au aina yoyote ile kuandika] anaandika tu kila kinachofikia ubongo wake. Mf. akina Bill Gate wanatumia miaka mingi tu kudevelop idea moja.
Angalia, hawa jamaaa wa Iphone na FBI ilivyokuwa isues kutengeneza program ya KUDUKUA DATA toka simu ya yule jamaa ambaye ni gaidi pale U.S.A , jamaa wa APPLE, wanadai ni gharama, Inahitaji muda na ni kuhatarisha maisha ya wateja na mtengenezaji wa program.

Mimi naona tufikie hatua ya kuelewa kuwa, jambo rahisi kwa macho sio rahisi kutendeka au kutekelezeka!
Mfano mzuri ni wa mhandisi wa barabara, anaposema barabara ipite hapa na tujenge hivi utaweza fikiria kuwa atatumia siku moja ila ni issue ya miezi au mwaka au zaidi.

Hiyvo tuheshimu kazi za watu na tuwasaidie pale tunapoona tunaweza na sio kupiga tu porojo za kukatisha tamaa.

Asanteni...
 
Back
Top Bottom