Mwanafunzi mwenye Umri mdogo zaidi ahitimu Shahada ya udaktari Kairuki University akiwa na miaka 21

Maana yake alimaliza kidato cha 6 na kuanza mwaka wa kwanza akiwa na miaka 16.

Alimaliza kidato cha nne na miaka 14.

Alimaliza la saba na miaka 10.

Alianza la kwanza na miaka 3.

Inawezekana kabisa.
Sio lazima kusoma hadi darasa la saba wapo wengi walivushwa from standard 6 to form 1 ni kawaida
 
Hili ni Tangazo la chuo.

Magazeti karibia yote, yamemzungumzia Mhusika kwa aya moja pekee.

Kilichofuata hapo ni dira na mpango mkakati wa Chuo husika kwa kirefu zaidi. Kwa sababu story ya binti inavutia, wakaipachika.
Hili gazeti huenda limepokea kibunda kirefu ndio maana limeingia ndani kwenye taarifa
 
Maana yake alimaliza kidato cha 6 na kuanza mwaka wa kwanza akiwa na miaka 16.

Alimaliza kidato cha nne na miaka 14.

Alimaliza la saba na miaka 10.

Alianza la kwanza na miaka 3.

Inawezekana kabisa.
Hata mm nimejiuliza hivyo😀😀😀😃😀
 
Back
Top Bottom