Mwana Jf; Post gani au uzi gani uliwaowahi kukufurahisha hapa Jf?

Ile Chupi ikadondoka mbele ya wote... By Mshana Jr.
Nilicheka sana alipo vunja gia na kutokomea kusipo julikana...
 
Ilinichekesha sana aisee ile
Halafu na yule aliyekua anashuka kwenye baskeli nguo ikakwama kwenye pedali akadondoka mbele za watu bar alinichekesha san..
Hahaha... aiseeh ile thread ngoja nitaifufua
 
Uzi ulionifurahisha sana ni mara yako ya Kwanza kupanda ndege, ilikuaje?...

Hahaha, ule uzi ulinifurahisha sana. Ule uzi huwa naupitia tena mara kwa mara...... Watu walifunguka sana mule.
Huo uzi unachekesha balaa,upo na ule kila akienda choon anajaza choo weee nilicheka mpaka kupaliwa
 
mm ni uzi wa mazingira hatarish uliyowah kufanya mapenzi, mfn mmoja tu Kuna jamaa alifanya mapenz juu ya kaburi, akaulizwa hukupata mikosi baada ya hapo, akasema hapana labda marehem nae alikua mzinzi
 
Mm ule unaosema kwamba"wenye uzoefu wa kuendesha gari usiku".
M
Kwakweli unaburudani yake
 
ule uzi siku ya kwanza kupanda ndege,
ha ha haaaa
pale ndio nikajua ,kweli ushamba mzigo
 
Back
Top Bottom