Fideliiiz
JF-Expert Member
- Dec 23, 2016
- 632
- 407
Swali la kijinga...samahani lakiniHaya mambo mnayajuaje na huku Jf sio jina rasmi kwa wengi? RIP ndugu yangu Ki -Jf
tuache kwanza. Alikuwa kipenzi chetu hivyo ni unatuvuruga tu.Nami sitakuita mjinga kwa neno lako "samahani" Ila! Kwa ufasaha sema ujinga uko wapi!
Poleni nduguDah
Dah!!
R. I. P Dena
Nami sitakuita mjinga kwa neno lako "samahani" Ila! Kwa ufasaha sema ujinga uko wapi!
tuache kwanza. Alikuwa kipenzi chetu hivyo ni unatuvuruga tu.